Usalama wa Watoto/Mke wa Polepole upoje?

Hilo halikuhusu kwani mwanzo ulihusika wewe na familia yako?dili na familia yako bwana mitanzania mingine bwana wewe usalama wa mama na baba yako kuna mtu amewahi kukuuliza?ujue ili iweje kwanza?
 
Mbali ya usalama wa Huyu mwanaharakati je usalama wa familia yake (watoto/mke) upoje? Umma usije ukawadhuru. Tuungane kuwatambua walipo na kuwalinda na maadui
Na kusaidia kujua walipo,wote wqpo uswiss wanamsaidia baba yao kulikomboa taifa lao.Huku wakimsaidia kusaka account za wanamtandao na mafisadi zilizochimbiwa huko.Hivyo wapo salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…