Usalama wa watoto wakati wa mvua wakiwa shule za serikali ni mdogo sana

Tufanye uchunguzi gani ? Kwamba waalimu hawajui hali hatarishi kama hizi kwanini waone mvua tena ya radi wasipige kengere ya dharula ?
Kwa uzoefu wangu radi hua inatoa warning kwanza itapiga ya kwanza itaenda ikirudi ya pili asee R.I.P
Swali langu hio warning waliipuuza wakaacha watoto nje wao wakijifungia staff wakinywa chai ya serikali
 
Unaeleweshwa na David Harvey unashupaza shingo, basi Nenda usiku huu ukawaue walimu wote ili roho yako isuuzike
 
Wakati nipo Bukoba, nilishuhudia mwanafunzi wa shule ya msingi, aliyepigwa na radi. Tangu siku hiyo naiogopa radi vibaya mno!
 
Mtawalaumu walimu
Sawa,na pia msisahau kuwalaumu wazazi maana mitoto sahv inazurula tu
Hakuna uangalizi/ufatiliaji wa wazazi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…