USALITI….Mke wa mtu ala kipondo baada ya kufumaniwa akiwa na rafiki wa mumewe chumbani…!!

Sawa Ndugu,nimekupata vilivyo! lakini pia tatizo au chanzo cha michepuko hiyo sio kwamba cha wizi ni kitamu zaidi,nadhani tatizo ni kukurupuka wakati wa kuchagua wa kuoa,matokeo yake ndio small house...!
hiyo point ya msingi sana,ndo maana nwdays nikiona mtu anachelewa kuoa ingawaje ana kila kitu simshangai
 


yaani kweli uandishi wa habari kazi mtu kafumaniwa yuppo stressed up wao wanakazana na kumhoji dah,hivi mtu ana nguvu hata ya kuongea kweli hapo
?
 


yaani kweli uandishi wa habari kazi mtu kafumaniwa yuppo stressed up wao wanakazana na kumhoji dah,hivi mtu ana nguvu hata ya kuongea kweli hapo
?

Teh teh! Nduguyangu yani hapo huyo mwanamke anaonekana aliangua tu kilio,sidhani kama muandishi wa habari alipata maelezo ya maana yoyote!!!
 
Hapo wala sijaona fumanizi ni muendelezo wa shigongo kuuza magazeti.Fumanizi ni ile wote hawana taarifa sasa hapo wamemlazimisha huyo dada
 
Duuh
 
Huyo Paulo Hana akili, kama mwanamke anakutaka na humtaki si unamkataa tu kwa kupotezea na ikiwezekana unatafuta nyumba sehemu nyingine kumlinda mkeo na kejeli za mke wa jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…