Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Bila Salamu.
Ukitaka chukua ukitaka acha. Hapa naelezea kitu kimoja tu kwa ufupi. Lakini kitu hiki kimoja kina manufaa makubwa sana kwako.
Unaweza ukadharau hichi ninachokuambia wewe msomaji ila usilolijua ni kwamba nyoka mdogo ndie mwenye sumu kali ya kukuua haraka zaidi kuliko nyoka mkubwa.
Huu ndio wakati wako wa kuchambua kila mtu aliye karibu nawe, kwani usaliti unaweza kutoka kwa mtu yeyote unayemjua.
Epuka kuwaambia wengine mipango yako, weka siri zako kwako mwenyewe.
Kadiri watu wanavyojua kidogo kuhusu maisha yako, ndivyo itakavyokuwa bora kuepuka usaliti na tamaa.
Nimemaliza mwenye macho na aone mwenye sikio na asikie. Mchawi hatoki mbali.