Usaliti ni dhambi ya mauti

Ninasikia inampelekesha balaa!
Akamuombe Mpemba msamaha maana aliapa baada ya kura zake kuchakachuliwa. Mungu atende miujiza na mratibu wa zoezi la uchakachuaji apate salamu.
 
Huu ni ugonjwa tu kaupata na hauusiani na uchaguzi. Japo Mtulia ni miongoni mwa wanasiasa wapuuzi kuwahi kuwepo nchini lakini sikushauri umuombee mauti. Omba aishi aone kiwango cha ujinga na uchumia tumbo aliouendekeza na jinsi ujinga wake ulivyogharimu maisha ya watu wengine.
Mtulia Mungu akupe siku japo chache uone ukuu wake na utambue maumivu waliyopata wale uliowasababishia maumivu akiwemo yule kijana wa Ananasifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…