Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Habari ndugu zanguni,
ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake hasa dada zake na mamake yake yaani kwenye mambo ya kifamilia/sherehe watamshirkisha japo yeye na huyo ex wake waliachana tangu 2012.
Nilimuonya mara kwa mara kuwa kuendelea kuwasiliana nao ni kunikosea heshima na ukizingatia mimi na yeye tulikuwa na malengo alichofanya yeye ni kupunguza mawasiliano ya kuongea ila facebook kwenye comment wanaitana wii kama kawaida.
kilichosababisha kuandika huu uzi ni kuwa mmoja wa mawifi zake ana mtoto mkubwa tu kama miaka 21 kamaliza diploma ya famasi chuo fulani kigamboni cha afya (nimesahau jina) mawasiliano kati ya mke wangu na haka kabinti yaliendelea/yanaendelea licha ya kumkataza yeye anadai huyu binti alikuwa mdogo sana kipindi yeye ana date na uncle wake wala hajui chochote kama walikuwa kwenye mahusiano hivyo si vibaya kuwasiliana naye.
Baada ya muda nikaona isiwe shida ngoja na mie nijenge ukaribu na haka kabinti labda nitapata chance ya kukatafuna nijipooze , nilianza mchakato kama miaka miwili iliyopita lakini kila ikifikia hatua ya kuomba kuonana anasema mpaka aunty awepo ndio atakuja nikawa napotezea, nikikumbushia tena wimbo ni ule ule atakuja home aunty akiwepo na hatuwezi onana sehemu nyingine yoyote.
Mwaka huu mwanzoni kidogo nilianza ona dalili ya mafanikio alinitumia friend request tena facebook tukachat nikaomba tuonane tena safari hii akakubali ila sehemu iwe ya wazi tukapate lunch nikaenda onana naye , mara ya pili tena nikaomba onana naye ila nilimuomba iwe sehemu ya ndani kama hotel sababu mie nimeoa hapa hapa town kuonekana ni rahisi akakubali nikampeleka lodge fulani iko jirani na temeke mwisho kwanza aligoma kabisa kuingia nikamdanganya kuwa nishalipia na nikambebembeleza sana akakubali kwa masharti hatusex na kweli alinikazia kusex akiwa na visingizio chungu nzima, tulivyoachana sikumcheki tena nikajua nishaharibu CV ataenda kunitangaza huko kwao.
jabu kesho jioni natoka kazini akanitext l mambo leo ulikuwa busy, japo siku zote huwa anaanza na shikamoo uncle, nikamwambia bado nasikia machungu ya jana akasema hapana kwanza hatujapima atani trust vipi manake magonjwa mengi pili yeye ana mchumba na mimi nimeoa tutakuwa pamoja for how long?, mwisho aliuliza what if aunty akijua na aunty anamsaidia vitu vingi na anamuona kama ndugu, nikamjibu kiufasaha na mwisho nikaomba tuonane tena.
Safari hii ya tatu ya kuonana nilifanikisha kukatafuna japo yeye alijua nimefanya kwa upendo ila moyoni nilikuwa nalipiza kisasi kupooza machungu sababu wife inaonekana hii familia anaipenda sana kitu ambacho ni kunikosea heshima mimi.
Tangia nimeanza uhusiano na huyu binti nimejikuta namchukia zaidi mke wangu kwani vitu alivyodai huyu binti hajui kiuhalisia anajua, mama yake na huyo ex wake alifariki 2017 kipindi anaumwa wife alikuwa anaenda kumuona sababu wanakaa mtaa mmoja hizi habari zote kanipatia huyu binti pamoja na habari nyingine ambazo hata kama mambo yamepita lazima yanatia wivu.
Nilipanga kumtafuna na kuacha ila nitaendelea kuwa naye ili nizidi kupooza machungu kwakuwa mke amevuruga trust aliyotakiwa kunionyesha.
Kabisa ni mtihaniNdoa huwa ni kama shimo la matatizo tu!!
piga chini mke wako, oa ako kabintiyupo mjini hapa hapa yupo NIT sijawahi ona wanawasiliana ila kupitia ndugu ni rahisi kunizunguka.
inapotokea mkeo yuko radhi agombane nawe kwa ajiri ya mwanume mwingine...kama Jafari ni tatizo sana, baby wa jamaa ni dhaifu sana kwa watu wake wa zamani...jamaa amekuwa mpole kwa ndoa yake na muungwana anachukua advantage huyu shemela wetu.Mkuu unakimeo hicho piga chini nakuhakikishia jaffar akikomaa anakula mzigo
Yaani kaongea kiume dada.Naona umechafukwa..hatari..mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
na wewe uko ndoani mkuu? maana nyie watu wa kimasihara mtakuwa mnazimudu tu...kimasihara sihara.Ndoa zinachangamshaa balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Aah noma sana mkuu hawa viumbe kuishi nao yataka moyona wewe uko ndoani mkuu? maana nyie watu wa kimasihara mtakuwa mnazimudu tu...kimasihara sihara.
Hapa ndo unakosea. Mpe hivyo vistory vibaya vibaya ili ajue kuwa unajua. Na hao ndugu anaoendelza nao masawiliano wanamchora tu. Kumbe uongo. Kikubwa vuruga kabisa wakate mawasiliano. Utaona ulivyo uliza kuhusu jafari alibaki kimya. Ukifanya hivyo tena hata kama vya kijinga wewe Sema ili ajione kuwa ni mjinga na hao anawakimbilia wanamchora.kwanza niweke wazi huwa sitafuti stori wala kuulizia kwa huyu binti, huwa inatokea tu. hii ya jafri aliniisimulia nayo nikapuuzia ila siku tunaenda kwao anakazania kumsalimia huyo Jafari ndio akiri ika load nishawahi ambiwa huyu Jafari wa serikali za mtaa walishawahi pigana na ex wake ndio ikabidi nimuulize. ukiachia hiyo kuna vistori vngi ambavyo niikimuuliza atajua tu nimeambiwa na member wa familia ile hivyo nimepotezea tu.
kuna jamaa aliwahi mweka status birthday akidai alikuwa mwanakwaya mwenzake kipindi anasali magomeni KKKT, bahati mbaya kama miezi miwili mbele aliibiwa simu nikamnunulia nyingine wakati anasajilii akaunti google photos ikadownload picha moja wapo ya ajabu alipiga na huyo jamaa zamani sana,nilivyomuonyesha ndio akakubalia yule alikuwa mshikaji wake, kwanini unamweka status hana jibu nilimsamehe na hili.Daah hiyo ndoa yako ngumu.Vp kipindi upo nae ktk uchumba ashawahi kukuonyeshea hayo mapicha picha ya maex wake?
Mkuu bila kupepesa vidole,umeoa mdangajikuna jamaa aliwahi mweka status birthday akidai alikuwa mwanakwaya mwenzake kipindi anasali magomeni KKKT, bahati mbaya kama miezi miwili mbele aliibiwa simu nikamnunulia nyingine wakati anasajilii akaunti google photos ikadownload picha moja wapo ya ajabu alipiga na huyo jamaa zamani sana,nilivyomuonyesha ndio akakubalia yule alikuwa mshikaji wake, kwanini unamweka status hana jibu nilimsamehe na hili.
Tatizo la kuwa na mke mpumbavu na asiye na akili, utateseka sana kijana.Habari ndugu zanguni,
ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake hasa dada zake na mamake yake yaani kwenye mambo ya kifamilia/sherehe watamshirkisha japo yeye na huyo ex wake waliachana tangu 2012.
Nilimuonya mara kwa mara kuwa kuendelea kuwasiliana nao ni kunikosea heshima na ukizingatia mimi na yeye tulikuwa na malengo alichofanya yeye ni kupunguza mawasiliano ya kuongea ila facebook kwenye comment wanaitana wii kama kawaida.
kilichosababisha kuandika huu uzi ni kuwa mmoja wa mawifi zake ana mtoto mkubwa tu kama miaka 21 kamaliza diploma ya famasi chuo fulani kigamboni cha afya (nimesahau jina) mawasiliano kati ya mke wangu na haka kabinti yaliendelea/yanaendelea licha ya kumkataza yeye anadai huyu binti alikuwa mdogo sana kipindi yeye ana date na uncle wake wala hajui chochote kama walikuwa kwenye mahusiano hivyo si vibaya kuwasiliana naye.
Baada ya muda nikaona isiwe shida ngoja na mie nijenge ukaribu na haka kabinti labda nitapata chance ya kukatafuna nijipooze , nilianza mchakato kama miaka miwili iliyopita lakini kila ikifikia hatua ya kuomba kuonana anasema mpaka aunty awepo ndio atakuja nikawa napotezea, nikikumbushia tena wimbo ni ule ule atakuja home aunty akiwepo na hatuwezi onana sehemu nyingine yoyote.
Mwaka huu mwanzoni kidogo nilianza ona dalili ya mafanikio alinitumia friend request tena facebook tukachat nikaomba tuonane tena safari hii akakubali ila sehemu iwe ya wazi tukapate lunch nikaenda onana naye , mara ya pili tena nikaomba onana naye ila nilimuomba iwe sehemu ya ndani kama hotel sababu mie nimeoa hapa hapa town kuonekana ni rahisi akakubali nikampeleka lodge fulani iko jirani na temeke mwisho kwanza aligoma kabisa kuingia nikamdanganya kuwa nishalipia na nikambebembeleza sana akakubali kwa masharti hatusex na kweli alinikazia kusex akiwa na visingizio chungu nzima, tulivyoachana sikumcheki tena nikajua nishaharibu CV ataenda kunitangaza huko kwao.
jabu kesho jioni natoka kazini akanitext l mambo leo ulikuwa busy, japo siku zote huwa anaanza na shikamoo uncle, nikamwambia bado nasikia machungu ya jana akasema hapana kwanza hatujapima atani trust vipi manake magonjwa mengi pili yeye ana mchumba na mimi nimeoa tutakuwa pamoja for how long?, mwisho aliuliza what if aunty akijua na aunty anamsaidia vitu vingi na anamuona kama ndugu, nikamjibu kiufasaha na mwisho nikaomba tuonane tena.
Safari hii ya tatu ya kuonana nilifanikisha kukatafuna japo yeye alijua nimefanya kwa upendo ila moyoni nilikuwa nalipiza kisasi kupooza machungu sababu wife inaonekana hii familia anaipenda sana kitu ambacho ni kunikosea heshima mimi.
Tangia nimeanza uhusiano na huyu binti nimejikuta namchukia zaidi mke wangu kwani vitu alivyodai huyu binti hajui kiuhalisia anajua, mama yake na huyo ex wake alifariki 2017 kipindi anaumwa wife alikuwa anaenda kumuona sababu wanakaa mtaa mmoja hizi habari zote kanipatia huyu binti pamoja na habari nyingine ambazo hata kama mambo yamepita lazima yanatia wivu.
Nilipanga kumtafuna na kuacha ila nitaendelea kuwa naye ili nizidi kupooza machungu kwakuwa mke amevuruga trust aliyotakiwa kunionyesha.
NaeSasa umekuja na Jafar tena!!!! Huyo dada ataja kukuua bure na Maradhi yaani kwenye Mahusiano kama hakuna kuaminiana ni tatizo sana.
Lakini amini kama ulishindwa kumbadilisha enzi ya uchumba kwa kigezo ukimuoa utatii kiu yake ya matamanio ya kuolewa na kubadilika umeula wa chuya bro! Kifupi hakuheshimu huyo ni mshenzi hana adabu hajui mume ni nani ndani.
Na kama hakuheshimu lazima ataliwa au ana liwa na huyo ex wake!
PoleniHabari ndugu zanguni,