Usaliti wenye ulazima

Dah kumbe wewe ni member wa FB basi sikomenti chochote
nimejiunga facebook 2009, facebook kwangu ni portal ya kupata habari, pia ni member wa facebook coder society naandaa podcast nyingi za software development, hivyo siwezi ondoka anytime soon, ni vile tu unaitumia facebook ni kama msitu mwingine anaenda kuokota kuni mwingine kuchimba dawa mwingin ekujisaidia explore and learn.
 
Kwanza sio sahihi uamuzi ulioufanya wa kutoka na huyo binti but also wwe ni mvumilivu kiwango cha juu kukbali aendelee na mahusiano na familia ya ex wake mana yake bdo pia yupo close na ex wake tarajia kukatkea event ikawahusisha wew na ex wako sjui nni kitaendelae halafu inaonekana ukienda unashughulika na mambo ya pale kama mwenyeji iv watu wakimuuliza wwe ukoje kimahusiano na hii familia sjui atajibu nni
 
HONGERA SANA
 
Ile issue anayokua nayo mwenza wako kabla ya ndoa inayokuboa ile unamwambia habadiliki, then unaamua muoane tuu bse no one is perfect ukitegemea maybe kwenye ndoa atabadilika. Mara nyingi hiyo issue ndio inakua root cause ya migogoro mingi kwenye ndoa.

Huyo dada ungemuacha tu kwenye uchumba aendelee kuwasiliana na hiyo familia ya ex wake wewe ungetafuta mwingine anayekusikiliza ukamuoa.

Sasa hapa na wewe umeamua kuchomoa betri, mke wako akijua anaweza akamtafuta ex wake ili achepuke kama kisasi kwako.

Muombe Mungu tu akupe hekima wewe ni baba na kichwa cha familia, lakini uzinzi uache. Maana huu nao ni moto unaosubiria kulipuka[emoji134]
 
Ama kweli ndoa nyingi ni tamthilia za isidingo na zinginezo....mapichapicha mengi sana kwa wenye ndoa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…