Usambazaji wa kazi za wasanii kwa kutumia caller tune

Usambazaji wa kazi za wasanii kwa kutumia caller tune

RUTUBA

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
66
Reaction score
17
Binamiliki wasanii wa kizazi kipya , je nkitaka kuuza nyimbo zao kama caller tune nafanyaje ? Naombeni msaada wapendwa
 
Hiyo caller tune ninavojua inafanywaga na makapuni ya simu. Hafu siku hizi haina faida Masha watu hawa tumii caller tune kwa mitandao. Wao wanazi download nyimbo wenyewe.
 
Back
Top Bottom