R RUTUBA Member Joined Mar 16, 2014 Posts 66 Reaction score 17 May 23, 2015 #1 Binamiliki wasanii wa kizazi kipya , je nkitaka kuuza nyimbo zao kama caller tune nafanyaje ? Naombeni msaada wapendwa
Binamiliki wasanii wa kizazi kipya , je nkitaka kuuza nyimbo zao kama caller tune nafanyaje ? Naombeni msaada wapendwa
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,271 May 23, 2015 #2 Hiyo caller tune ninavojua inafanywaga na makapuni ya simu. Hafu siku hizi haina faida Masha watu hawa tumii caller tune kwa mitandao. Wao wanazi download nyimbo wenyewe.
Hiyo caller tune ninavojua inafanywaga na makapuni ya simu. Hafu siku hizi haina faida Masha watu hawa tumii caller tune kwa mitandao. Wao wanazi download nyimbo wenyewe.