Wadau,
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu jinsi ya,kusambaza bidhaa ili ziweze kupatikana katika maeneo mbalimbali Tz,tafadhari anipe mwongozo,kama kuna kampuni za usambazaji au vipi,nahitaji shirts zangu ziingie sokoni.
Asanteni,0686871887 tunaweza kuwasiliana pia