Usanifu na ubunifu wa viambaza bomba( balcons)

Usanifu na ubunifu wa viambaza bomba( balcons)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Viambaza ni sehemu ya urembo na finishing kwenye ujenzi wa nyumba.. Nyumba isiyo na kiambaza ni sawa na mchuzi chukuchuku... Ama mboga isiyo na viungo
Zufuatazo ni baadhi ya viambaza vyenye usanifu wa ubunifu wa kuvutia ... Hasa ukiwa nazo😀 kwa sehemu kubwq unaweza kuona balcony ni za kawaida lakini zikanogeshwa na urembo wa maua halisi
Jamani uzuri gharama! Hasa ukiwa mpenzi wa vitu vizuri😀😀😀
1738899767256.jpg
 
Aseeh napenda sana balcony hasa iwe kubwa kidogo na nzuri 👊

Nyumba nyingi za zamani hasa block zilikuwa hazikosi hii kubwa ndefu nyumba za sasa nyingi naona hazina
 
Back
Top Bottom