Usanifu na ubunifu wa viambaza bomba( balcons)

Aseeh napenda sana balcony hasa iwe kubwa kidogo na nzuri 👊

Nyumba nyingi za zamani hasa block zilikuwa hazikosi hii kubwa ndefu nyumba za sasa nyingi naona hazina
Hizi ninazoweka hapa nyingi zina upungufu wa nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…