Ccm inalazimisha kupigwa kwa Kura ya maoni kupitisha au kuikataa katiba inayopendekezwa,katiba iliyoandikwa chini ya usimamizi wa mtu ambaye serikali ya ccm inamburuza kwenye tume ya maadili kwa kile kinachodaiwa mtu huyu Hana maadali katika utumishi wa umma.mwenyekiti wa kamati ya uandishi iliyoandika katiba ambayo ccm na mwenyekiti wao wanahaha kuhakikisha katiba hiyo inapigiwa Kura April 30.usanii wao ni Kuwa ni lini mtu mwizi na asiye na maadali anaweza kutengeneza sheria ambayo itamtia hatiani mwenyewe kutokana na kukosa kwake maadali.hivi ccm na serikali yake wapo serious na issue ya kina chenge au ni mwendelezo wahadaa dhidi ya wadanganyika?uhalali wa katiba pendekezwa uko wapi kama waandishi wake wenyewe ndo Hawa ambao hata mwaka haujapita,hata hatujaipigia Kura ya kuikubali au kuikataa tunaambiwa waandishi wake hawana maadali ,tena tumeambiwa na Mkuu wa kaya na mwenyekiti wetu.yupo wapi haji warema,mshauri wetu wa sheria wakati wa uandishi wa katiba pendekezwa,yupo wapi prof Tibaijuka,Ngereja,muhongo na wengine.sitaki kuamini Kwamba ccm wamebaki vipofu watupu?