BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Nilisema hapa kwamba hizi kesi zitapigwa kalenda mpaka baada ya uchaguzi wa 2010 halafu watuhumiwa wote wataachiwa huru kwa kukosa ushahidi wa kuwatia hatiani. Hivi ni kweli kesi hii muhimu kwa maslahi ya nchi iliyosababisha wizi wa shilingi 133 bilioni (na si ajabu zaidi maana wizi huu wa 133 bilioni ni mwaka mmoja tu 2005/2006) inakosa hakimu wa kuendesha? Kweli hii awamu ni ya ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya!!! π π π. Nimeshindwa kuifungua kama mnavyojua matatizo ya IPPMEDIA Online
EPA case adjourned for lack of magistrates
Posted Tue, March,31 2009
Source Guardian
The Kisutu Resident Magistrate`s Court yesterday adjourned the hearing of a theft case of 2,897,265,499/63 from the Bank of Tanzania (BoT) External Payment Arrears account (EPA) because the the High Court had not assigned the magistrates to preside over the case