adrenaline JF-Expert Member Joined Jun 17, 2015 Posts 4,727 Reaction score 8,093 Aug 2, 2026 #21 Mizam said: Hapa naona hujaeleweka mkuu Click to expand... Nilikuwa mwendokasi..hao Wachina wakikaza kwenye kesi..huwa hatushindi. Hawa wanakuja na mitaji sisi ndio tunawakopa.ππ
Mizam said: Hapa naona hujaeleweka mkuu Click to expand... Nilikuwa mwendokasi..hao Wachina wakikaza kwenye kesi..huwa hatushindi. Hawa wanakuja na mitaji sisi ndio tunawakopa.ππ
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,870 Reaction score 15,068 Aug 2, 2026 #22 adrenaline said: Nilikuwa mwendokasi..hao Wachina wakikaza kwenye kesi..huwa hatushindi. Hawa wanakuja na mitaji sisi ndio tunawakopa.ππ Click to expand... Kampuni nyingi za kichina ni za serikali ya China.
adrenaline said: Nilikuwa mwendokasi..hao Wachina wakikaza kwenye kesi..huwa hatushindi. Hawa wanakuja na mitaji sisi ndio tunawakopa.ππ Click to expand... Kampuni nyingi za kichina ni za serikali ya China.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 3, 2026 #23 Inasikitisha sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw
M mkwelitu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2026 Posts 773 Reaction score 1,072 Aug 3, 2026 #24 masopakyindi said: Hili linashangaza. TAKUKURU siku hizi ni kama mbwa asiye na meno, wamebaki kubweka tu. Click to expand... Mpeni Kagame hii inji japo muwaka mumoja tu mutabaambia benyewe.
masopakyindi said: Hili linashangaza. TAKUKURU siku hizi ni kama mbwa asiye na meno, wamebaki kubweka tu. Click to expand... Mpeni Kagame hii inji japo muwaka mumoja tu mutabaambia benyewe.