hivi hizi shule azijafunguliwa tu....zingatia masomo kwanza dogo...
Just cool down, u have made da mistake, u culd do it in dat first kiss(ina mata sana), so inawezekana hujafikia viwango vyake thus y kakudis, kama vipi jifanye kumpotezea fulani...halafu ucheki response yake
twent five old 25 siunajua tena unapoanza mapenzi ukubwaniSamahani,wewe una miaka mingapi???be real ili na mimi nijue pa kuanzia
hivi siku hizi bado mnasumbuka ktk kutongozana?
poa mbadili tabiakama vipimna wewe mtumie sms mwambie unae umpendae vilevile
hivi hizi shule azijafunguliwa tu....zingatia masomo kwanza dogo...
Ee bwana nahitaji ushauri wenu wa kauli kuna demu mmoja nimemzimia sana nimemu sms akaniambia atanijibu nikamfuaja home kwao nikamwambia anijibu akasema atanijibu kwenye sms mara akaniambia kazi kwangu mlango u wazi nikamwambia basi hata nimubusu nikapaki gari sheli tukaagana vizuri nafika home akanisms kwamba mchana aliona akiniambia ntazimia ninae nimpendae.sijapata chakumjibu usauri jamani
embunipe mautundu sir zaidi ya kutongoza