Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejidhatiti kikamilifu katika kupigania usawa wa kijinsia kati ya watoto wa kike na wale wakiume. Lakini kwa siku za hivi karibuni serikali imejenga dhana ya kumbagua mtoto wa kiume na kumkweza mtoto wa kiume akitangatanga bila ya msaaada wowote ule. Usawa wa kijinsia katika masuala ya elimu ya siku hizi yanamnyima haki mtoto wa kiume kabisa na yamewekewa kipaumbele kwa mtoto wa kike
1. UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO.
Katika uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha tano serikali itende haki kwa wanafunzi wa jinsia zote na isimbebe mtoto wa kike pekee, kwani wanafunzi wote wa kike na wakiume walifundishwa na Mwalimu mmoja na waliosoma darasa moja.
Mfano wanafunzi wa kiume wanaopata daraja la tatu hdawachaguliwi kujiunga na kidato cha tano lakini wasichana wote ilimradi tu amepata daraja la kwanza na la tatu na mchepuo wake umebalance anachaguliwa kwenda kidato cha tano.
Vilevile kwenye masomo ya Sayansi wanaume lazima wawe wamepata daraja B kati ya somo mojawapo katika combination,lakini kwa wanafunzi wa kike hata mwenye daraja D kwenye combination anachaguliwa.Ikumbukwe kuwa tunatafuta wataalamu wa baadae kwa jinsia zote na siyokuufuta mfumo dume.
Serikali iweke usawa kwa wanafunzi wa kiume na wa kike...

Upvote
4