usawa una wezekana kweli?


...Sipo, usawa gani huo 'unaopitiliza', hebu tugusie hayo yanayosemwa huko...
 

Mkuu ndio naona ujumbe wako leo. Nadhani tukubali kutokubaliana. Ila mjadala uendelee.
 
Sap Comandate !!!

Mzee siasa mpaka kwenye mahusiano ya ndoa !!!, hii tena hatari. Afu unamnukuu Nyerere ambaye mwenyewe hakufanikiwa vizuri katika hayo masuala.

Mkuu siasa huwezi kuiepuka. Siasa inahusu mgawanyo wa rasilimali na madaraka. Kama wewe huoni kuwa vurugu zote za mahusiano, ndoa na talaka ni kuhusu rasilimali na madaraka tazama tena. Mkumbuke yule mama mjane aliyemfanya baba mkwe wake azimie alipomuonesha mali waliyosahau kurithi walipokuja kumnyanganya mali za marehemu mumewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…