usawa wa kinjinsia aina nyingine ya ushetani

usawa wa kinjinsia aina nyingine ya ushetani

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,876
Ice cold beer plz.........

mtanisamehe sehemu nilizo changanya lugha.

usawa wa kijinsia maana yake ni kwamba wanaume na wanawake ni sharti wapate same treatment unless there is sound biological reason for different treatment.

Kabla ya UN & co kuchukua hili swala na kuliweka official through declaration of human rights,

kuna mwana mama kwa jina Ann Lee alikuwa preacher wa kundi la wa kristo waliojulikana kama shakers kwa style yao ya kucheza kwa kushake mnamo karne ya 18,

Ann maarufu kama mother ann lee alifundisha kuwa inawezakana kuishi ktk utukufu bila kuwa ktk mahusiano ya kimapenzi
even thou yeye alikuwa na mume
ila mahusiano yao hayakuwa mazuri sababu alipata mimba nne na zote ziliharibika, later on mume wake ali mkimbia,hata ivo mume mwenyewe alilazimishwa kuolewa na wazazi wake
so probably alikuwa hampendi.

Ann lee ndio aliye introduce usawa wa kijinsia kwan wafuasi wake waliishi separate wanaume ki vyao wanawake kivyao
na wanawake walikua free kufanya watakalo bila kuingiliwa

later on ndio wanakuja UN & co kuhalalisha ushetani huu eti mwanamke awe sawa na mwanaume? Kitu ambacho ni kinyume na sheria ya mungu and also against nature...

Unamkumbuka lucifer?
Na rebelion aliyo anzisha mbinguni??

Isaya 14:13-14
verse 14 inasema "nitapaa kupita viimo vya mawingu, nitafanana na yeye aliye juu.
Hayo maneno ya shetan ya kutaka kuwa kma mungu,

shetan rebelion aliyoianza mbinguni ya kupindisha sheria ya mungu akaja bustan ya eden akamdangaya eve then eve akamshawish adam kula tunda
ndio inayoendelea had leo hii,

from biblical point of view
women shud never be equal or above men much less they are not even allowed to preach

1 timothy 2:11-15
verse 12 inasema
"simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha,wala kutawala mwanamme, bali awe katika utulivu".

1 corinthias 14; 34-35
verse 35 inasema "nao wakitaka kujifunza neno lolote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu mwanamke kunena katika kanisa.

Utasoma mwenyewe zifuatazo
ephesians 5:23-24
1 peter 3:1-22
and so many

so when did God changed his law and make women an equal to men ??

Women equality is clearly a rebelion against God law engineered by satan yule yule aliyetimuliwa mbinguni kwa kutaka kujifananisha na mungu

ni wazi kwamba tangu mwanzo shetan alitaka kuwa kma mungu
any thoughts za mwanamke kuwa kma mwanmme na mwanaume kuwa kma mwanamke ni satanic.

na nimpango wa satan, wa kutengeneza dunia yenye serikali moja ambayo yeye ni mtawala
(new world order) kwahyo moja ya mbinu zake ni violation of principles set by GOd himself.
na kuleeta hii unlimited freedom eti we can live as we wish

still doubting??

Anne lee alisema alipokea revelation eti women shud be equal to men this is ridiculous
and probably alipokea kutoka kwa shetan

kma vile mmoja wa waanzilishi wa satanism Aleister crowley alivo sema amepata revelation kuwa everyone shud live as his or her wishes,
(do what thou wilt)

how could GOd give people a revelation to violate his own law??

Still doubting??

American is told by prophecy as a footage of satan empire on earth

ann lee wa living in manchester england eti baada ya kupata revelation aka hamia new york US

connect the dots ni mpango wa shetan kumvuta kwenye centre of his empire ili implimentation ya mpango wake wa kumfanya mwanamke kuwa equal na mwanaume uwe rahisi.

so why pastors dont preach this even though its written in the bible??

I dont know but kama wange preach hii
wakina joyce meyer, getrude rwakatale etc etc tunge wapata wapi??

Excuse my swanglish

another beer waitresss
 
Hivi, manabii/mitume hadi leo bado wapo? Na nyaraka zinazotolewa na hao manabii zaweza kuwa regarded kama zile za mtume za mitume wa Enzi za Yesu na kabla ya hapo? Tukipata majibu ya haya ndiyo tutakuja jua 'revelation' ambazo hawa wanazisema kama ni kweli au ni ujumbe wa ibilisi.
 
Suala la usawa kati ya wamama na wababa tunaliongelea kisiasa zaidi na ndio maana limeshindikana kupata muafaka katika baadhi ya maeneo. Usawa huu hauondolei mwanaume kuwa kichwa na kosa linalofanyika ni pale wanawake wanapotaka kufanya vs-versa yaani nao kuwa kama wanaume.
Kwa kifupi ni kuwa pale wanawake watakapokuwa wamepata haki zao wanazostahili ndipo na wanaume wataweza ku-realize ukuu wao na kufurahia matunda ya uumbaji wa binadamu kama alivyokusudia Mungu. Kwamba mwanamke atakuwa katika position nzuri ya kumsupport mwanamme endapo haki zake zitakuwa zimepatikana tofauti na ilivyo sasa kwa baadhi ya maeneo duniani.
Hizo nukuu zako kutoka Maandiko Matakatifu zinaweza kuwa sahihi lakini nazo usisahau kuwa zinakua kulingana na muda unavyosonga japo hazibadiliki na ndio maana kila baada ya miaka Mungu anatuma mjumbe mwingine ku-renue hizo sheria (sio kuzibadilisha). Tatizo ni wale https://www.jamiiforums.com/member.php?u=31528
kama anavyosema MESTOD #2wanaolazimisha mfano Sheria za Mussa kufanya kazi sasa miaka zaidi ya 5,000 tangia zifunuliwe bila kuwa hata na moderation.
 
why do you expect them to preach this? or you do not know who has sent them forth?
 
Suala la usawa kati ya wamama na wababa tunaliongelea kisiasa zaidi na ndio maana limeshindikana kupata muafaka katika baadhi ya maeneo. Usawa huu hauondolei mwanaume kuwa kichwa na kosa linalofanyika ni pale wanawake wanapotaka kufanya vs-versa yaani nao kuwa kama wanaume.
Kwa kifupi ni kuwa pale wanawake watakapokuwa wamepata haki zao wanazostahili ndipo na wanaume wataweza ku-realize ukuu wao na kufurahia matunda ya uumbaji wa binadamu kama alivyokusudia Mungu. Kwamba mwanamke atakuwa katika position nzuri ya kumsupport mwanamme endapo haki zake zitakuwa zimepatikana tofauti na ilivyo sasa kwa baadhi ya maeneo duniani.
Hizo nukuu zako kutoka Maandiko Matakatifu zinaweza kuwa sahihi lakini nazo usisahau kuwa zinakua kulingana na muda unavyosonga japo hazibadiliki na ndio maana kila baada ya miaka Mungu anatuma mjumbe mwingine ku-renue hizo sheria (sio kuzibadilisha). Tatizo ni wale
kama anavyosema MESTOD #2wanaolazimisha mfano Sheria za Mussa kufanya kazi sasa miaka zaidi ya 5,000 tangia zifunuliwe bila kuwa hata na moderation.

Just to put the records in order, Mungu ni Yuleyule Jana, leo na hata milele,habaridiki, na alipoweka hili katika maandiko alimaanisha sheria zake hazibadiriki. nimeisoma biblia vizuri sana, na ni niko convinced sheria yake haijawahi kubadirika, na hajawahi kutuma mjumbe hata mmoja kubadirisha hata elufi katika uhandishi wa sheria zake.

Kuhusu Musa, umesema vyema, sheria zake, lakini sio za MUNGU.
 
asante sana maana ni wazi sasa unakuja kwenye mjadala wa msingi

Mkuu Sangarara, unaweza kuwa umeisoma Biblia au Kitabu kingine Kitakatifu na kukimaliza hata mara 100 lakini hivi vitabu havisomwi kwa macho haya ya kawaida (physical eyes) bali macho ya kiroho (spiritual eyes).
Ndio maana watu wengi waliokuwepo wakati wa Yesu hata wale wanafunzi wake wenyewe walikuwa hawaelewi mpaka inamlazimu kutumia mifano na hata mara nyingine kuwambia kuwa hamuwezi kuelewa mpaka baadae! Chukulia hadithi moja ambapo Wayahudi walitaka kumkamata kwa madai kuwa anavynja Torati lakini yeye akasema haji kubadilisha hata nukta moja bali kuitimiliza. Hii ndio maana ya kurenue. Akimaanisha kuwa wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. hayo ndiyo macho ninayomaanisha.
 
Mkuu, samahani lakini.
Hiyo dhana ya spiritual eye ni dhana ya uongo, ni approach ya kishetani kama hiyo ya equality yenye msingi ule ule wa kutimiza agenda ya ibilisi, kumpotosha Mwanaadamu.

Neno la Mungu ni simple and clear na halina ambiguities, hata hayo mafumbo, hakuna hata moja ambalo halikufumbuliwa, kwa maandishi humo humo kwenye biblia, sasa spiritual eye ya nini.

Issue ni Kwamba, ukiujua ukweli utauamini? unapofikishwa kwenye hatua ya kufahamu Mungu anasema nini hasa juu ya Jambo fulani utaliamini? hata baada ya kulielewa?

Fumbo kubwa na mtihani mkubwa ni kukubaliana na yaliyoandikwa humo ambayo yote yameshikamana na kuwa kitu kimoja kiasi kwamba hauwezi kusema unakubalina na hili ila haukubaliani na hili kwa sababu utakuwa unamaanisha kwamba hata hilo unalokubalina utakuwa haulielewi pia.
 
Na hapa ndio maana wanaita 'imani'. Ukiondolea hizi imani za siku hizi ambazo unalazimika kuzifuata kwa vitisho vya moja kwa moja (kuchinjana) au vya 'kwenda motoni. Laiti wengi tungelishawishiwa kufuata Imani kwa sababu ya upendo na sio vitisho basi mambo yangekuwa tofauti kabisa.
Mfano unavyosema shetani ni theory tu ambayo wanaopenda kuitumia inamaanisha ni kinyume na Mungu. Kwa mfano giza ni kutokuwepo kwa mwanga lakini hii haina maana kuwa giza kama giza lina-exist bali mwanga ndio una-exist na formula zake ziko wazi, hivyo hivyo kwa shetani ukichukulia Mungu kama mwanga.

Kinachoshawishi watu kuwa na Imani ni ukweli wa historia juu ya Mungu. Mfano Torati, Biblia (na baadae Koran) nk 'zimeandikwa' miaka mingi lakini siku zinavyozidi kuongezeka na watu wanaoziamini wanaongezeka. Niliwahi kusoma sehemu kuwa miaka kama 60 iliyopita zaidi ya 80% ya wanasayansi walikataa uwepo wa Mungu lakini leo zidi 80% wanakubali uwepo wa Mungu ...huku wanasayansi na philosophers walioamini uwepo wa Mungu theories zao zimedumu tofauti na ambao hawakuamini. Na zaidi waanzilishi wa Imani hawakuwa na elimu yoyote, madaraka nk ukilinganisha na phylosophers wengi waliowakuta lakini Maneno yao yamedumu na kushawishi zaidi ya 'greater thinkers' wa nyakati zao. Hapo ndipo pa kutafakari!

Back
Top Bottom