USB cable zipi za kuchajia simu ni nzuri kwenye maduka ya mtaani ?

Unataka wire wa smart type c ai iphone tuanzoe apo kwanza
 
Zipo zimeandikwa 25W nyeupe ni kampuni ya Bisky yenye chaji kichwa kidogo hii naona ndio ipo sawa..
 
Yote ni majina tu, kiwanda ni hicho hicho kimoja China tu.
 
Hivi wakuu hamna njia ya kujua usb fake kabla ya kuinunua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…