zain www.zain.com
vodacom www.vodacom.co.tz
zantel ::: www.zantel.com :::
Tembelea tovuti zao wana email addresss zao na namba za simu unaweza kuwauliza moja kwa moja
Nashukuru Mshiiri kwa kunielewa. Lakini kuna Mahali kidogo napo hujanielewa,nafahamu hiyo compatibily issue lakini ninachouliza ni je,nikiwa nayo km ile inayofanana na ya kwao kwa kila kitu,wataweza kuniruhusu kupata connection? Nauliza hivi kwa sababu nilishawahi kusikia(sikumbuki ilikuwa wapi au lini) kwamba wao huwa wanahitaji kila kitu kitoke kwao,yani km ulikuwa na ya Voda then ukataka kuhamia Zain lazima ununue moderm zao hata km uliyo nayo inafanana umbo na function na za kwao,sina hakika juu ya hili na ndiyo maana nauliza.Do not be ridiculous! You making this blog to show up so low! REMEMBER this is home of great thinkers!
Jibu ni kwamba modem yeyote inayofit sim card inaweza kufanya kazi popote. It is like unlocked handset, works for every chip. Great deal is to buy unlocked modem
Nashukuru Mshiiri kwa kunielewa. Lakini kuna Mahali kidogo napo hujanielewa,nafahamu hiyo compatibily issue lakini ninachouliza ni je,nikiwa nayo km ile inayofanana na ya kwao kwa kila kitu,wataweza kuniruhusu kupata connection? Nauliza hivi kwa sababu nilishawahi kusikia(sikumbuki ilikuwa wapi au lini) kwamba wao huwa wanahitaji kila kitu kitoke kwao,yani km ulikuwa na ya Voda then ukataka kuhamia Zain lazima ununue moderm zao hata km uliyo nayo inafanana umbo na function na za kwao,sina hakika juu ya hili na ndiyo maana nauliza.