USB modems

USB modems

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
675
Dear all,

Ninaomba kuelimishwa kuhusu USB Modem. Nategemea kwenda Bongo hivi karibuni. Swali langu ni je naweza kuaccess internet kupitia USB Modem kwenda kwenye laptop yangu? How do I go about this? Do I buy just any USB Modem here in U.S. and then when I get to Bongo approach any mobile provider for a Pre-Paid service? Do I get speed internet connection? Apart from USB Modem kuna njia mbadala? Any relevant information is highly appreciated.

Naomba kuwakilisha,

Shadow.
 
Dada shadow habari zako

kama nia yako ni mtandao basi ukifika bongo utapata kila kitu unachotaka kuhusu mtandao huna haja ya kununua chochote kutoka huko kwa sababu inaweza kupishana katika standard na mambo kama hayo -- ikitokea hivyo pale customercare watakwambia imekufa haifanyi kazi

bora ununue hukuhuku bongo utapata vyote
 
Asante sana kwa ushauri. Shy, naomba kukuuliza unaweza kujua hicho kifaa kinauza bei gani, huko Bongo?
 
Dear all,

Ninaomba kuelimishwa kuhusu USB Modem. Nategemea kwenda Bongo hivi karibuni. Swali langu ni je naweza kuaccess internet kupitia USB Modem kwenda kwenye laptop yangu? How do I go about this? Do I buy just any USB Modem here in U.S. and then when I get to Bongo approach any mobile provider for a Pre-Paid service? Do I get speed internet connection? Apart from USB Modem kuna njia mbadala? Any relevant information is highly appreciated.

Naomba kuwakilisha,

Shadow.

Huenda ikawa faster & cheaper ukinunua huko USA.
Hiyo USB modem iwe na sehemu ya kuwekwa SIM Card.
Data card ni option nyingine kwa kutumika kwenye laptop, sio PC.

Unachotakiwa kuzingatia ni technologia inayotumika.
Hizi ni mobile phone standards, bofya hapa.
Wenye ufahamu watakwambia technologia zinazotumika Tanzania.

Ili kusaidia wengine, hebu tuwekee bei ya hizo modem za huko.
Ukiweza tutajie technology gani zinatumia, hali kadhalika data transfer rate.

.
 
Unapokwenda kununua waeleze kwamba una mpango wa kuja itumia huku Tanzania. Kuna nyingine ziko locked kwa matumizi ya specific Service Provider.

Natumai umepata mwanga zaidi

.
 
Nimeiona hii kwenye Vodacom :3G HSDPA USB Modem (E220) , hii ni product ya Ihuwei. Bongo inacost Tshs. 345,000 lakini EBay unaweza kuipata mpaka kwa dola 89 + shipping dola 15. Thanks wadau for detail check Vodacom Tanzania website.
 
Na akiweza kupata hiyo ya CDMA anaweza kupata connection ya Zantel ambao wanasifiwa kwa bei nzuri ila sijui upande wa speed na pia anaweza kupata ttcl broadband ambayo bei si mbaya ingawa si nzuir pia na speed yao ni nzuri sana. Hawa wote wanatumia CDMA.
Vodacom 3G ni nzuri lakini kwa bei! Mhhh hapo utakimbia mwenyewe. Niliijaribu bei ikanishinda.
Haitakupa uhuru
 
Kwa sasa katika mitandao yote ttcl ndio kiboko na gharama zake ni nafuu sana inategemea na aina ya huduma unayochukuwa
 
Na akiweza kupata hiyo ya CDMA anaweza kupata connection ya Zantel ambao wanasifiwa kwa bei nzuri ila sijui upande wa speed na pia anaweza kupata ttcl broadband ambayo bei si mbaya ingawa si nzuir pia na speed yao ni nzuri sana. Hawa wote wanatumia CDMA.
Vodacom 3G ni nzuri lakini kwa bei! Mhhh hapo utakimbia mwenyewe. Niliijaribu bei ikanishinda.
Haitakupa uhuru

Kusema ukweli Zantel speed yao mmh........ inatia hasira sana, ila bei yao c mbaya sana....... Kwa sasa nafikiri TTCL ni nzuri sana kwa speed na huduma zao wameboresha
 
Back
Top Bottom