Dada shadow habari zako
kama nia yako ni mtandao basi ukifika bongo utapata kila kitu unachotaka kuhusu mtandao huna haja ya kununua chochote kutoka huko kwa sababu inaweza kupishana katika standard na mambo kama hayo -- ikitokea hivyo pale customercare watakwambia imekufa haifanyi kazi
bora ununue hukuhuku bongo utapata vyote
Dear all,
Ninaomba kuelimishwa kuhusu USB Modem. Nategemea kwenda Bongo hivi karibuni. Swali langu ni je naweza kuaccess internet kupitia USB Modem kwenda kwenye laptop yangu? How do I go about this? Do I buy just any USB Modem here in U.S. and then when I get to Bongo approach any mobile provider for a Pre-Paid service? Do I get speed internet connection? Apart from USB Modem kuna njia mbadala? Any relevant information is highly appreciated.
Naomba kuwakilisha,
Shadow.
Zantel wana CDMA, ila ni ipi katika hizi?
Comparison of wireless data standards
What about other providers?
.
Na akiweza kupata hiyo ya CDMA anaweza kupata connection ya Zantel ambao wanasifiwa kwa bei nzuri ila sijui upande wa speed na pia anaweza kupata ttcl broadband ambayo bei si mbaya ingawa si nzuir pia na speed yao ni nzuri sana. Hawa wote wanatumia CDMA.
Vodacom 3G ni nzuri lakini kwa bei! Mhhh hapo utakimbia mwenyewe. Niliijaribu bei ikanishinda.
Haitakupa uhuru