INAUZWA Usb port 4 in one inauzwa

INAUZWA Usb port 4 in one inauzwa

Peter_John

Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
53
Reaction score
91
Habari za wakati huu wamachama wote wa JF ,Nina uza hiki kufaa chenye usb ports 4 pamoja na waya mfupi wa type C, kifaa hiki kitakuwezesha kuchaji simu tano kwa wakati mmja endapo uta connect usb wires kwenye hizo ubs ports.

Nakiuza sh elf Saba tu (7k).
Nipo dar, ahsante
IMG_20220919_155137_268~2.jpg
IMG_20220919_155128_012~2.jpg
IMG_20220919_155113_536~2.jpg
 
Back
Top Bottom