Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo, Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara. Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani. Vigezo vya...