Used microwave na jiko la gesi vinauzwa bei rafiki

Used microwave na jiko la gesi vinauzwa bei rafiki

Jipatie microwave imetumika kidogo, bado ina upya wake na box lake. 130,000/- fixed. Pia jiko la gesi la plate 2 halijatumika ila takuuzia bei rafiki ya 75000/- Ukichukua vyote viwili kuna punguzo. Karibu
Ok... ngoja nikamate bodaboda nije hapo fasta. Si bado uko hapo Torabora au ulishahama?
 
Mkuu nataka sana hilo jiko kuna jamaa nilishindwana naye humu kwa pesa yangu ya kinyonge hiyo hiyo
 
Mtonyo nao unanila vyenga tu najitahidi nipate kimojawapo hapo
 
Back
Top Bottom