INAUZWA Used photocopier machines zinapatikana bei poa na imara

usedphotocopytz

Senior Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
173
Reaction score
23
Tunauza mashine za photocopy used pamoja na vifaa vingine vya ofisi zilizo katika hali nzuri na ubora..spea zake zipo ..toner pia upo ..na tunatoa warranty ya siku 30,Bei zetu zinatofautina na ufanyaji kazi wa mashine na ukubwa wake,tupigie tukupe ushauri ipi inakufaa kwa kazi zako na shuhuli unayotarajia kufanya.
tupo ILALA mtaa wa TUKUYU na MOSHI .. tuko pembeni ya KANISA LA ANGLIKANA.

Offer large stock of used copiers brands CANON and most models, analog and digital. Our machines are in great condition and tested .
wasiliana.

whatsapp na simu kawaida 0715331233
simu kawaida 0786443322

karibuni

kwa wanaotaka kufungua ofisi ya stationerys njoo kwetu vifaa vyote vipo tunakufundisha pia namna ya kuvitumia na kama uko dsm tunakuletea mpaka kwako na kukusetia. wa mikoani tunawasaidia mpaka stendi na kusafirisha kwa gharama za mteja.
 
ungeweka mchanganuo wa bei katika kila machine
 
Machine za KOPY ZA RANGI zipo pia wasiliana na sisi watsapp uzione zote 0715331233
 
Copy zinaanzia Tshs Ngapi na kwa Model Gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…