Used Pioneer Amplifier 1000watts inauzwa

wilie

Member
Joined
Jun 21, 2021
Posts
24
Reaction score
37
Original imenunuliwa Nje na imetumika kwa mda mfupi.Bei yake ni Shillingi 350,000.Kama unauhitaji tupigie simu au tuma meseji namba 0742662669.Napitikana Dar es Salam Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB bank



 
Original zimetumika kwamda mchache,zote zimefungwa kwenye gari mwenye uhitaji anaweza kutest sounds kabla yakufunguliwa.Bei Amplifier sh 350,000 na Speaker 250,000.

Mzigo uko Dar es Salam Mwananyamala Komakoma.Tupigie namba au tuma meseji kwenye namba 0742662669






 
Malizia kuwa ni kwa matumizi ya Motor car(ya Gari)
 
Original kutoka Dubai.nzuri bado mpya imetumika kwamuda mfupi.First come first Go kwabei nafuu kbsa



 
Weka na bei mkuu, bidhaa ipo poa
 
Iko JBL Boss nitafute tuongee biashara
Nina box la two in one nimefunga pioneer moja na sony moja nataka kufunga pioneer mbili nitrade hii sony sema nipo mkoani kesho naingia town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…