Ati nini? "Used" "spare" part unatafuta hata "indicator" "used"?
@BE,
Kama mtu mwenyewe in the first place ni used na pia spare part...atawezaje kutafuta brand new (genuine)???
Au bado naona mawenge wenge?
Hii post naifuta aisee..... Kwamba you can insinuate this na Sweetie aweza pita na kuona hii..... :scared: Unataka anielewe vipi Konnie.... lol (in case it happens); Nisha iriport kwa mod..
Hivi ni wewe ADi au kuna mtu kaiba PW yako?
Haya yanayoendelea tumeyazoea kwa akina Kongosho, Rejao, Mwali etc!!!
Babu DC!!
Adjutant DC oops Maj Gen D,
kinachonitatiza ni kwamba, inakuwaje mtu unamiliki gari (kwa mfano), ambalo ni limetengenzwa 2010, and yet, linapopata hitilafu ukalipeleke kwa fundi, of all the people, fundi anakwambia, nenda ILALA ukanunue "used spare"...!
Ujue Babu DC mie ni mchungaji, hayo mambo unanipakazia.
Waumini wangu watanitoroka bure, ngoja nianze kukemea.
Poa nimekubali......
Ila ulitembelea wapi (ni Nig..?) kabla ya kuazisha kanisa lako?
Hao waumini wanahitaji novena!!
Babu DC!!
Wengine tunazungumzia spea za mwili wa binadamu we unatuletea mastori ya maspea ya machuma. Stuka!!
Nilikwahi kununua friji used yani nilijutaje!!!!Kesho yake niliirudisha kwa muuzaji halafu akanikata na pesa yangu.Tangu siku hiyo niliapa kuwa makini na hivi vitu ''used''.
Ushauri bora ununue kitu kipya hata kama cha mchina lakn kiwe na quality(expensive) kuliko kununua used ambayo hujui depreciation yake ni kiasi gani.
.......lol..... Zion D wewe ulikosea kitu kimoja, ilitakiwa kama unataka used iwe spare part, sio Kifaa chote kabisa... Lazima kikusumbue! lol
Ahahahhaa... mie mshamba kama ndo hivo.Kumbe wenzangu wananunua spare parts tu!!!
kikikiki.Hata hivo nilishaweka maamuzi kuwa sitaki used.Kama kitu kimeharibika spare bora kutupa tu na kununua kingine.
ki ki ki ki...Naona ukinitembelea itafaa zaidi.Sasa niandae consultation fee ama?Zion D kitu ambacho kinakusumbua shosti ni kua wewe bado hujajua vifaa vipi vya faa Used ama fake; Kumbuka fridge ni moja ya kifaaa ambacho inabidi ununue origina... Mimi naona huu mjadala nikutembelee weekend tujadili zaidi. lol
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!
Ni kwanini lakini?