Muhamala
Senior Member
- Oct 1, 2017
- 101
- 88
Wakuu kwema?
Aise sehemu gani nitapa used spare za gari za muhindi (TATA)?
Kuna spare natafuta, nimejaribu kuulizia kwa dealer wao hapa Tanzania aise ni ghali sana ndio maana nimeona bora nitafute used tu hiyo mpya nitanunua mbele ya safari huko, kwa anaejua sehemu ninaweza pata naomba afunguke.
NB: Spare yenyewe ninayohitaji ni ya kwenye mfumo wa upepo.