Used Spare za TATA

Muhamala

Senior Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
101
Reaction score
88
Wakuu kwema?

Aise sehemu gani nitapa used spare za gari za muhindi (TATA)?

Kuna spare natafuta, nimejaribu kuulizia kwa dealer wao hapa Tanzania aise ni ghali sana ndio maana nimeona bora nitafute used tu hiyo mpya nitanunua mbele ya safari huko, kwa anaejua sehemu ninaweza pata naomba afunguke.

NB: Spare yenyewe ninayohitaji ni ya kwenye mfumo wa upepo.
 
Wakuu kwema?? Inamaana humu jukwaani hatuna wauzaji wa used spear za TATA???
 
Spear yenyewe ninayohitaji ni hiko kidude chenye vitundu tundu kwa chini jina lake kitaalamu sijajua kinaitwaje ila kazi yake ni kucheua upepo uliozidi kwenye mitungi ya upepo.

Spear yenyewe ninayohitaji ni hiko kidude chenye vitundu tundu kwa chini jina lake kitaalamu sijajua kinaitwaje ila kazi yake ni kucheua upepo uliozidi kwenye mitungi ya upepo.

View attachment 937678View attachment 937679
Air valve inaitwa , mtafute fundi mzuri wa upepo wa magari makubwa anaeza akakufanyia modification ukafunga valve ya gari nyingine yenye
 
Air valve inaitwa , mtafute fundi mzuri wa upepo wa magari makubwa anaeza akakufanyia modification ukafunga valve ya gari nyingine yenye
Kumbe inawezekana pia kufanya modification!!! Ngoja nimsikilizie huyo jamaa wa spear kesho ikishindikana itabidi nifanye hivyo mkuu. Ahsante kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…