Naomba kufahamu wapi nitapata used Spareparts za gari ya Toyota Carina specifically handle ya kufungulia tank na buti, raba za milango na taa ya nyuma.
Natanguliza shukrani kwa atakaenipatia msaada wa mawazo.
Salaam wadau.
Naomba kufahamu wapi nitapata used spareparts za gari ya toyota carina specifically handle ya kufungulia tank na buti, raba za milango na taa ya nyuma.
Natanguliza shukrani kwa atakaenipatia msaada wa mawazo.