Used vehicle purchase inspection form

Used vehicle purchase inspection form

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,726
Reaction score
3,778
Habarini za Mchana wana Board.

Watu wengi hupata hasara wakati wa kununua magari kwa watu wengine (used vehicles), kwa sababu huwa hawana taarifa ya kutosha kutoka kwa amma wataalamu au jamaa wa karibu kuhusu gari analotaka kununua.

Ili kuepuka hasara hiyo, nakuwekea FOMU maalumu, ambayo kama utaitumia vyema kabla ya kununua chombo cha moto husika, nakuhakikishia utafika kwenye maamuzi sahihi yatakayo weza kukufanya kuepuka hasara ambayo ungeipata.

Jenga tabia ya kupata taarifa ya chombo unachotaka kununua kutoka kwa watu wengi (kwa kadri uwezavyo) ili kupata taarifa sahihi ya kufikia mamuzi sahii.

Usiogope kuingia Mkaguzi wako gharama kidogo ya kumlipa mtu ili kukufanyia kazi hiyo. Gharama hiyo itaweza kukuepusha na hasara kubwa sana ambayo ungeweza kukutana nayo.

Unaweza pitia Link Ifuatayo kwa elimu zaidi Used Vehicle Inspection Form | LoveToKnow

Nakutakia siku njema.
 

Attachments

Back
Top Bottom