Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Sehemu ambayo inatumika kutofautissha mtu na mtu duniani ni alama za kidole gumba, wote tunakubaliana....
Sasa kwa mfano siku moja tunaamka asubuhi... (Narudia tena kwa mfano) binadamu woote duniani wamekatika vidole, unadhani ni kitu gani kingine kinaweza kututofaufisha kama ilivyo alama za vidole?
A) kidali / kifua
B) ulimi
C) pua
[emoji41][emoji41][emoji3][emoji3]
Nb. Useless fact.. Don't panic, Take it easy! [emoji6]