Usemi wa kwamba mwanamke akikupenda hakuombi ela ni una ukwel kiasi gani?

Usemi wa kwamba mwanamke akikupenda hakuombi ela ni una ukwel kiasi gani?

Hivi ule usemi wa kwamba mwanamke akikupenda hakuombi ela ni una ukwel kiasi gani?
Hili lina Ukweli kiasi chake, hasa hapo miaka ya nyuma kidogo.

Ila kwasasa inatokea kwa wale wanawake ambao kwao wana unafuu wa kiuchumi hivyo mara nyingi huwa wanahitaji Mapenzi na vitu vinavyoendana na Mapenzi na Pesa sio kipaumbele sana kwao.

ANGALIZO: Hii hali huwa haidumu sana, mara nyingi huwa ni zile siku za mwanzo au miezi kadhaa, ila in a long run mwanamke huwa anarudi kwenye default setting.

Be a Man, kama huwezi kuhudumia mwanamke uliyenaye basi achana na habari za mapenzi na focus na issue za msingi zaidi za kujikwamua kiuchumi.
 
Mwanamke mwenye uwezo mzuri kiuchumi tu ndiye unaweza kumuamini kwamba hajakupendea pesa .....!


Weza kuzisoma vizuri sana hisia za Mwanamke yeyote ambaye yuko broke kiuchumi , Hakuombi pesa eeti sababu anakupenda .....!


Japo wapo, Ila kuwapata ni Majariwa... !
 
Back
Top Bottom