usexy unanitesa

joel amani

Senior Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
100
Reaction score
8
du jamani mke wangu nampenda na amesaliti mara kibao lakini kumwacha nimeshindwa mana akiwa mbali nami huwa nakumbuka alivyo sexy roho inauma namrudisha,nifanyeje?
 
Attachments

  • mothersdayan03_220x176.gif
    26.9 KB · Views: 158
Is this supposed to be a joke or something? Nahisi kule kwenye jukwaa la Mapenzi ndo ulipaswa kuiweka hii kijana! :smash:
 
Uwe mpole tu maana ushakula limbwata.
 
du jamani mke wangu nampenda na amesaliti mara kibao lakini kumwacha nimeshindwa mana akiwa mbali nami huwa nakumbuka alivyo sexy roho inauma namrudisha,nifanyeje?
umekosea jukwaa kaka,ipeleke kwenye mapenzi,mahusiano na urafiki
 
du jamani mke wangu nampenda na amesaliti mara kibao lakini kumwacha nimeshindwa mana akiwa mbali nami huwa nakumbuka alivyo sexy roho inauma namrudisha,nifanyeje?

Kwakuwa umeshakiri kuwa huwezi kumuacha cha kufanya usimuache sexy baby wako.....! Akishakuletea gonjwa then njoo tena ututake ushauri.....thawaaa!!!# nonsense...
 
Tabia inashape uzuri wa mtu wewe, kuwa mwanaume, usitutie aibu bana.
 
Zidi kumpenda au kama unaona tab akiondoka mwambie wewe huna noma amlete tu huyo bwana au mabwana utawapisha chumba sababu unawapenda sana....
 
Huna cha kufanya maana ndo fungu ulilochagua.
Mtengee chumba cha pili cha kuwa wanakuja kumkamulia home angalau uwe-unamonitor ni type zipi zinakamua kwa usalama wenu.

Au chunguza booklet nyuma labda wenzako wanaandika huko.
 
Wewe endelea kuwa na moyo wa kisport tu, watu watakutafunia mke wako mpaka utakoma!
 
Mkuu avatar yako inashtua sana

asee sio uongo... jamaani tuangalie avatar za kuweka jamani...! na kuhusu huyu ambaye mkewe analiwa.. asee wewe vumilia tuuuu.. kwa kweli limbwata ikiisha yani ndio utakapo jua ulivyokua unaliwa na utajua mengi kinyama.. hata muuza mkaa hapo kwenu amekula mzigo ila wewe hujui.. daaah asee pole sana...!
 
Huna cha kufanya maana ndo fungu ulilochagua.
Mtengee chumba cha pili cha kuwa wanakuja kumkamulia home angalau uwe-unamonitor ni type zipi zinakamua kwa usalama wenu.

Au chunguza booklet nyuma labda wenzako wanaandika huko.
hahahaaaa haha ahha hahahahihihihihiiiiiii inawezekana mzee..! dah pole sana asee..! dah kama imefikia hivyo asee kweli umerogwa mwenzetu... aaah wewe sio mwenzetu bwana..! tafuta wenzako..!
 
halafu yani ukiendelea kuwa kimya unaweza ukakuta hata mimi nimesha pita hapo manake hua ninajikubali kwenye ishu hizo kinyama yani...! so kama unataka kuniona wewe subiri tu utashangaa anachata kwenye titi "DRILLER" hapo ndo akili itakujia nadhani...!
piga chini huyooooooooooooooooo.....! khaaaa...!! mwe hadi sauti yangu imekauka..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…