Yeye anajua kwamba wewe unaelewa amekuwa anakusaliti?du jamani mke wangu nampenda na amesaliti mara kibao lakini kumwacha nimeshindwa mana akiwa mbali nami huwa nakumbuka alivyo sexy roho inauma namrudisha,nifanyeje?
umekosea jukwaa kaka,ipeleke kwenye mapenzi,mahusiano na urafiki
avatar yako inatuogopesha wengi....nadhani tuiondoe....
avatar yako inatuogopesha wengi....nadhani tuiondoe....
Mkuu avatar yako inashtua sana
du jamani mke wangu nampenda na amesaliti mara kibao lakini kumwacha nimeshindwa mana akiwa mbali nami huwa nakumbuka alivyo sexy roho inauma namrudisha,nifanyeje?
Lol! Kweli kuishi ni kujifunza mwanawani.
Uwe mpole tu maana ushakula limbwata.