CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
PRICE WAR NA BIASHARA ZETU ZA BONGO
Price war ni kitendo cha Competitors mbalimbali in the same industry kuppambana kupitia Bei, nakatika price war huwa kila Mjasirimali anajitahidi kushusha bei yake ili kuvutia wateja wengi hivyo kutengeneza faida
Kwa Dunia ya sasa ni kwamba ni vigumu sana kukuta kwamba kuna biashara isiyo kuwa na washindani, Washindani wamekuwa wengi sana na enzi za Moniopoly kwa sasa ni kama hazipo kabisa
So Price war ndo kitu pekee ambacho Competitors ana adopt mara tu anapo ona ushindani ni mkubwa sana Sokono, Na madhara yake huwa ni makubwa sana
Katika Biashara zetu nyingi tumeshuhudia hii kitu, katika Ufugaji wa kuku, Kilimo, katika Biasharaza vyakula na kazalika
NINI HASA MAANA YA PRICE WAR AU VITA YA BEI?
Price war inaelezea kitendo ambacho washindani katika Soko hushindana ili kupata share ya soko kupitia kushusha bei ya bidhaa na huduma. Ni kitendo cha kutaka kuwakamata wateja kupitia Bei
NINI MADHARA YAKE?
Madhara ya Price war ni makubwa sana kuliko Faida zake na mara nyingi ni Makampuni machache sana ambayo yanaweza fanikiwa katika hii vita ya Price war, wengi huishia kufunga biashara kwa kushindwa kujiendesha kwa faida,
Na Ikitokea kwenye Industry Mfano ya Ufugaji wa kuku Mko wengi, na mnauza mayai na kuku Nyama, wewe unaweza kuwa wa kwanza kabisa Mtaani Kushusha Bei ya Tray Ya mayai, labda kutoka 6000 hadi 5000, utakapo shusha wewe utapata wateja wengi sana make bei yako iko Chini, na kitakacho fuatia Wenzanko wote Mtaani nao watashusha na kuuza 5000 hapo mnakuwa mmebalansi,
Itakubidi tena Ushushe kutoka 5000 hadi 4500, ili uendelee kuuza kwa wingi, wenzako nao watashusha na kuuza 4500 na some time anaweza jitokeza mwingine akashusha hadi 4000 au 3500 na hapo ndo vita hupamba moto na matokea yake ni mabaya sana kwani either itabidi wengine wafunge biashara kwa kushindwa kupata faida,
Na hili ni Tatizo kubwa sana Kwa Tanzania kwa sasa, Mara nyingi wafanya biashara wengi hujikuta wameingia katika Mtego huu wa Price War bila kujua na matokea yake ni Kufunga baiashara zao kwa kukosa Faida make Cost huzidi Revenue,
UNAWEZAJE KUTUMIA PRICE WAR NA KUSHINDA?
Ni kampuni/Wajasirimali wachache sana wanao weza kushinda hii vita na ili uishinde ni lazima uwe una tumia mkakati wa COST LEADER SHIP, Kwa wano tumia huu mkakati wana nafasi kubwa kabisa ya kushinda hii vita kupitia Cost leadership strategies
JE TUNAWEZA VIPI KUSHINDA HII PRICE WAR BILA YA SISI KUJIINGIZA KATIKA VITA?
Njia pekee ya kushinda Price war kama Hutumii COST LEADRSHIP STRATEGIES ni kuto jiingiza katika huo mkumbo na hapa ndo wengi huwa wanashindwa na kiujikuta wana tumbukia kwenye vita ya Bei
So Endapo wenzako wataanza kushusha Bei, wewe usiwafuate kwa kushusha na Badala yake wewe fuata Direction yako nyingine kabisa ili kupambana nao
1. JARIBU KU TAGETI KWA MARA NYINGINE SOKO LAKO
Mara nyingi katika soko kuna makundi Matatu, Lowe income, Middle income na Higher Income, so kujiingiza kwenye Price war ni kwamba unakuwa automatically umeingia katika kuwahudumia lower Income na kuacha yale makundi Mawili
Unless kama strategies ya masoko yako ni kudili na lower income, Ila kama sio acha kabisa kushindana na wenzako katika vita
Na kama huwezi kushusha ghalama za uzalishaji ili upate faida mara utakapo shusha bei ni bora ukakaa pembeni ya hiyo vita
So cha Kufanya ni wewe kuamua kukaa upande wa utakao wahudumia kati ya Middle, lower au Higher income
Na kuna kipindi hizi segment zote tatu hukutana pamoja yaani Lowe, middle na higher na hapa ni kwa zile product ambazo ni FAST MOVING CONSUMER GOODS(FMCG) nah ii ni kwa bidhaa zile za kila siku na zinazo nunuliwa kwa wingi kama Nyanya, Mikate, Mandazi na kazalika na hapa mara nyingi wafanya biashara hu enjoy High turn over
2. TOFAUTISHA BIDHAA/HUDUMA ZAKO NA WENZAKO
Hii ni nnjia nyingine ambayo unaweza fanya, kama unadili na Biashara ya Kuuza mayai au Nyama za kuku jaribu kujitofatisha na wenzako wote katika serice au Product, na hapa unaweza ukawa either Unachnja ndo uwauzie, au unapaki kabisa ndo unazua, au wewe utakuwa unapeleka dor to dor tofauti na wenzako
Branding, Vilevile hii ni njia moja wapo nzuri sana ya Kushindana na wenzako waliko katika Price war, Kama wote Mtaani Mnauza MANDAZI wewe wewe unaweza amua kufanya hivi, MANDAZI ni commodity na JOHN MANDAZI ni Brand name, so hapa itakuwa ime add some thing katika product yako ya Mandazi
3. UZA UMUHIMU NA SIO BIDHAA AU SERVISE
Mara nyingi watu wengi katika Biashara huuza Bidhaa badala ya kuuza faida ya iliyopo katika bidhaa hiyo,
Na mara Nyingi Price war huafanywa na watu wasio jua wanafanya nini katika Biashara, na kama unajua unacho kifanya haina haja ya kuingia katika vita hiyo,
Kama Mteja anapata na kuridhika na kile unacho toa kwa nini uingie katika hii vita? Mteja mara nyingi anapenda aridhike
4. TUMIA NJIA YA MONEY BACK GUARANTEE/KUWAREJESHEA WATEJA PESA YAO
Wewe unauza Maziwa, waambie wateja wako kwamba endapo maziwa yatakuwa na matatizo utarudishiwa fedha zako kama zilivyo, ingawa hii itaonekana kama ni kutoa bidhaa au huduma Bure ila ni moja ya njia ya kujenga uaminifu kwa wateja na mteja atakuwa akinunua huku akijua hakuna cha kupoteza
Unauza Mayi, endapo kuna yaliyo haribika basi mteja ayarudishe na either atapewa mengine au atarudishiwa fedha zake
5. ANZA KUTOA FREE KWA MAJARIBIO
Umeanza kufuga kuku wanyama na Mtaani ndo kama hivyo kuna Vita ya bei, kwa wale wateja wako muhimu unaweza ukawa unawapatia free tria, unapatia kuku akajaribu kama ni mtami au la,
6. TUMIA HII HII YA KUSHUSHA BEI KAMA MBADALA WA KUFANYA KITU KINGINE
Hapa Badala ya Kushusha Bei unaweza fanya vifuatavyo na vikawa ndo Mbadala wa wewe kuingia katika vita ya Bei
a. Unaweza tumia vita hii kwa kuweka Discount, Mfano ukinunua Tray 10 basi utapewa moja kwa free, hii itasaidia kumaintain position yako katika industry
b. Unaweza Tumia Settlement Discount- Hapa ni kwamba badala ya kushusha bei unaweza ukawaambia wateja wako kwamba Bei ya Kuku ni Tsh 8000 Ila kama utawachukua ndani ya wili moja basi bei itakuwa ni Tsh 7500
c. Tumia Hii vita kuuza Complementary Product au Service- Wewe unauza Kuku wa Nyama na Mayai, so unaweza ukawaambia wateja wako kwamba kwa atakaye Nunua Kuku pamoja na Mayai bei itakuwa hivi, Kwa atakaye Kula Chips pamoja na Soda basi Bei itakuwa ni hii
d. Tumia hii vita kufanya COMMITMENT- Hapa ni Kwamba Unaweza waambia wateja wako kwamba Endapo Utannunua kwetu kwa Mwaka Mzima basi Bei yako badala ya Tsh 20000 itakuwa Tsh 18000, so hapa tiyali unaweza kuwa na uhakika wa wateja kwa mwaka mzaima nah ii njia inatumika sana that is why unaweza kuta bidhaa moja na muuzaji mmoja lakini wengine wanauziwa bei ya Juu wengine bei ya chini
7. UNAWEZA TENGENEZA BIDHAA NYINGINE KWA LOW PRICE
Mfano wewe Una hoteli na Bei ya Chakula ni Tsh 8000 basi tengeneza section nyingine kwa watu wenye pesa kidogo
8. BADILISHA BEI YA BAADHI YA BIDHAA AU DUMUA ZAKO NA KUACHA ZINGINE
Mfano wewe unahoteli. Na ili mtu apate full Breakfast yenye Chai, Mandazi, Juice na kazalika bei ni Tsh basi wewe unaweza amua kushusha kidogo bei ya andazi na kuacha hivyo vingine kama vilivyo, so hii itafanya watu waamini kwamba umeshusha bei kumbe ni usanii tupu
ILA HII NI APLICABLE KWA BAADHI YA BISHAA/HUDUMA
9. UZA KATIKA BUNDLE
Ukiona ushindani ni mkubwa unaweza amua kuuza in Bundle, Bei yako inakuwa ni Kuku 10 Tsh Fulani, Kuku 100 Tsh kadhaa,
Au kama unauza chakula unaweza amua badala ya kuuza Andazi kivyake, Chai kivyake, wewe unganisha vyote na unasema tu Breakfast ni bei kadhaa, Lunch ni bei kadhaa, kama wanavyo fanya kwenye Buffer