Usife moyo, Yanga, Arsenal and Real Madrid bado zinaweza kushinda ligi kwa vile hazipo katika nafasi mbaya, Ferari tutamrudisha Schumacher, kuhusu Roger Federer ni suala la wakati tu kabla hujampata mwingine, kama mimi nilivyokuwa kwa Pete Sampras na sasa hayupo tena nikahamia kwa Carlos Moya na baadae kwa Rafa Nadal.Kila week end napata presha kabisa, yaani timu ua vitu ninavyo shabikia kwa sasa vyote ni hovyo kabisa.
football Tz: Yanga
Footbal UK: Arsenal
Footbal Spain: Real Madrid
Formula 1: Ferrari
Moto GP: Yamaha team with Lorenzo.
Tennis: Roger Federer
Hiyo list hapo juu inaonyesha jinsi gani ninavyo pata presha kila weekend, ushabiki wa kweli huwezi hama timu lazima ukomae hatakama matokeo ni mabaya :angry:!!