Ushabiki wa timu za mpira umekuwa na historia ya muda mrefu hususani kwa timu hizi mbili za kariakoo.
Kwa siku za hivi karibini kumejitokeza utamaduni mpya wa watu kuhamia timu wanayoona inafanya vizuri nje na ndani ya uwanja.
Utamaduni huu unaoanza kujengeka,ni kama wa ngoma za jadi za wasukuma ambapo anayefanikiwa kuwavuta watu,basi wote huhamia huko.
Mbinu za kuwavuta pamoja na uhodari wa kucheza,lakini uchawi mkubwa hutumika kuwapumbaza watu na kuwafanya wavutiwe na unachofanya.
Ni wazi katika timu hizi mbili tabia za uchawi zimekuwa zikitumika sana licha ya uwekezaji mkubwa unaofanyika. Si ajabu kuona timu ikiingia uwanjanj kwa kuvunja geti ama wakija na basi tupu huku wao wakiingia na gari lisilo rasmi.
Huko tunapoelekea,ushabiki huu utakosa ladha kabisa iwapo huu mtindo wa kuhamia timu inayoshinda ndio utakubalika.
Mimezoea kuona wadada wasiojua mpira wakishangilia timu inayoshinda tuu bila kujali ni timu gani.
Hata hivyo nawashangaa hasa wanaume wanaoshindwa kuvumillia maumivu ya kufungwa na kuamua kuhama timu.
Hakika sasa hakuna wanaume kwani kwa zamani usingepata mtu mwenye moyo legevu kiasi cha kushindwa kuvumilia kupoteza ushindi. Hii inaonesha watu hawana moyo wa kupambana