Ushabiki wa Teams unaua vipaji na muziki wa Tanzania

Wameanza kuelewa saivi, kelele zimepungua sana.
 
Hapa kuna pande mbili

** Ambao bado wanaweweseka ña mafanikio ya diamond, na bado hawataki kuamini kama yeye ni msanii mkubwa level aliyopo sasa Africa..., nà kuona kwamba msanii wao ndio alitakiwa kuwepo hapo roho zina kuwa zinawauma wanaamua kumpa support mshindani.... (wana mawazo ya kimaskini kweli kwahili)

** Ambao wana wivu na Zari na wanaona mastar wanaowapenda wao ndio walitakiwa kuenjoy hii cake so bad it will never happen..

La msingi tu wajiandae na ndimu maana zinawahusu vilivyo utafunikaje nzi kwa tenga??????
 
Yaani ni tabia za kichawi si bure
 
Mbona maadui wa Diamond wapo wachache sana ila wana kelele nyingi. Kuna mmoja ex kabla ya mganda anashinda humu na multiple id's na ni maarufu kwa id zake zote.
 
binafsi naomba mnirekebishe jambo hapa mimi sio mtu wa mainstagram kihivyoo ila hizi siku mbili tatu nimepata kutembelea huko hivi hii ipo sawa kwa mtoto wa kiume kujitangaza upo hizi team za wema na unamchukia tena kwa kumtukana mwanaume mwenzio kisa ugomvi wake na xboyfriend wake naomba mnirekebeshe labda haya ndio mambo ya instagram, kuna kidume kingine nilikibamba huko huko instagram analalamika kwanini domo kachukua demu njee ya tanzania ndio maana hampendi na hatompigia kura nimeshangaa sana mtoto wa kiume kutoa sababu kama hizi.
 
Tuwasubiri watu wa insta waje,
wengne mwisho wetu JF tu.
 
Oya nyie m.a.fa.la kuweni basi na akili za kiume mana wengine mna ndevu na watoto mnashindwa kufanya vitu vya maana mna komaa na upuuzi tu yani mnaboa kichizi ningekuwa na uwezo futa makundi yote ya Team zenu za k.i.f.a.l.a
 
teh teh teh!!! life is a beautiful thing
 
Oya nyie m.a.fa.la kuweni basi na akili za kiume mana wengine mna ndevu na watoto mnashindwa kufanya vitu vya maana mna komaa na upuuzi tu yani mnaboa kichizi ningekuwa na uwezo futa makundi yote ya Team zenu za k.i.f.a.l.a

UE stress!!
 
Trehe tehe teheee aiiiiiiiiiiii.
Nyie wanaume wenye midevu mmesikia? Badala nyie muamue watu wakigombana ndo kwanza nyie mnatukana sijui mnachambana ni wanafiki nyie mashushushu wa kufa mtu yani id za kiume ila nina wasiwasi na uanaume wenu itakua ni wa surual tuu na vidada vinajichekesha chekesha kama viuza bar!
Aiiiiii ngoja niendelee kupita zangu
 
pita kachukue na gambe kabisa, mbona walazimisha wanaume wa hapa waamue ugomvi kwani ndo wanawatumaga mchambane?hakuna refa hapa, yani na mie nawasapoti hawa wanaume bega kwa bega mkichambana nanunua ugonvi nawachochea kikwelikweli ha ha ha #kirohombaya
 

Wewe nawe ni....... acha nisitukane tuu. ILa fanya yako sio lazima uni quote upo? Wazoee hao hao mbuzi mee uliowazoea hapa ni moto wa kuotea mbali kama ulikua unatqka pa kupatia breakfast apa sio mahala pake we shankupe. Mazoea na wew sitaki fanya yako nifanye yangu.
Alafu sina tym ya ku argue na mjinga that y toka kitambo nimewapotezea sasa wew nishobokee ukizani mimi nina mashine mimi ni Ke upo?? Sina cha kukuridhisha nacho.
TEMBEA NA GEPU
 
Alafu-halafu
apa-apa
wanaume msiamue hata akilia machozi ya damu make sahivi kilio chake ni wanaume waamue
kuquote siachi kama comment ikiwa hapa labda ukakoment pm ndo sitaweza huna moto wowote kidagaa
haha ha hata mi najua umepunguza munkari kuzurura zurura hapa kama paka wa bar
narudia tena ukichambwa huamuliwiiii lia sasa
 

Nyooo wa kunichamba nani? Wew usiyejua ata kuosha uchi? Au kuna mwingine?? Heheheiyaaaaaaaa umetumwa eeee? Mwambie aliye kutuma aje na yeye nyang'au wakubwa nyie. Unaandika kama unatapika kwenda zako wew nishakuambia kawashobokee wanaume ulio wazoea wakutibu sio mimi maana vijiti vitakuhusu.
Nakwambia shukuru mungu jf kuna ban ningekuharia mpaka uchanganyikiwe.
Baki na ujinga wako.
 

ata- hata

calm down huna haja ya kupanic pata glass ya maji afu soma tena na tena
hapo kwenye shobo za wanaume ndo hapoooo nilipo unalia lia sana "ukichambwa wanaume hawaamui" nakuuliza kuna marefa humu? Kuna mwanaume anakutuma uchambane atakusaidia? Watu wapo na time zao kuondoa stress we nae unalilia kusaidiwa ha ha ha jisaidie mwenyewe huko, sasa kama huna wa kuchamba unalia nini yani umnalalamika kama umekopwa vile acha utoto
 
utalia sana na ukileta ujinga ni kuchambwa tu hakuna wa kukuamua maana hakuna namna shwain.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…