Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Kusema kweli mi ni mshabiki wa Yanga, kwa hiyo naichukia Simba. Kutokana na hilo sijawahi kuvaa wala kumnunulia mpnz wangu nguo nyekundu. Tena huwa siko comfortable nikiambatana nae akiwa amevaa nguo nyekundu. Hivi hakuna rangi nyingine special kwa Valentine?