Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Usiniache peke yangu...Njoja nirudi kulala!
We ndio nilitegemea somo! unaingia mitini. vipi??Usiniache peke yangu...
Usiniache peke yangu...
We ni wapili unanambia kuhusu Ivuga... :A S 39:Mi naona baridi imezidi,kama vipi twen'zetu,ila Ivunga akikuona mi simo!
Somo? mwenyewe bado nafundwa hapa!We ndio nilitegemea somo! unaingia mitini. vipi??
We ni wapili unanambia kuhusu Ivuga... :A S 39:
Somo? mwenyewe bado nafundwa hapa!
Nilitaka kuwa wa tatu lakini nimesita kidogo :hat:We ni wapili unanambia kuhusu Ivuga... :A S 39:
mkuu hiyo red si ni aina ya betri?Bila kuvunja Ibara ya ...... Kanuni na masharti ya JF
AAA = Mara nyingi ni raha ya ukweli
EEE = Mara nyingi ni maumivu ya ukweli
III = Mara nyingi wanajifanyisha, anataka kukuibia
OOO= Mara nyingi ni maumivu ya raha,
UUU= Hapa ni bahada ya safari ndefu ya kupanda na kushuka, mwisho wa safari
We ushakumbana na hipi kati ya hizo?
mkuu hiyo red si ni aina ya betri?
heheeh kamanda hapa JF bana, home of greti thinkaz, isje ikawa jamaa anajifanya kutuandikia a,e,i,o,u za mapenzi kumbe anatangaza biashara ya kiduka chake cha betri za tripo ATeh,teh,teh,lowyer bana!
Bora umeacha deskmate. Nilikua nimesha sema atakae niuliza tena kuhusu huyu kaka namporomoshea matusi.Nilitaka kuwa wa tatu lakini nimesita kidogo :hat:
Hahahahahaha, deskmate sikuwezi! lolheheeh kamanda hapa JF bana, home of greti thinkaz, isje ikawa jamaa anajifanya kutuandikia a,e,i,o,u za mapenzi kumbe anatangaza biashara ya kiduka chake cha betri za tripo A
mmmh Greatest escape. Thank LordBora umeacha deskmate. Nilikua nimesha sema atakae niuliza tena kuhusu huyu kaka namporomoshea matusi.
Na itakua mara ya kwanza Mwali kukasirika humu JF... you don't want to see that lol
mkuu hiyo red si ni aina ya betri?
Kuna kutukana na kutukana... wewe ningekwambia tu kitu members wengine wasielewe ila wewe mwenyewe kingekuuma na ungejua deskmate wako nimechukia...mmmh Greatest escape. Thank Lord
Mmmmh lakini kweli deskmate ungeweza kunitukana mimi? (imagine I did ask you).
Sjui kwanini hii post yako imenifanya nipende kujua , nini ungelisema ambacho watu wasielewe lakini mimi nielewe. MmmmhKuna kutukana na kutukana... wewe ningekwambia tu kitu members wengine wasielewe ila wewe mwenyewe kingekuuma na ungejua deskmate wako nimechukia...