hujui??? ngoja nikwambie... :gossip:Sjui kwanini hii post yako imenifanya nipende kujua , nini ungelisema ambacho watu wasielewe lakini mimi nielewe. Mmmmh
Huninong'onezi?
hujui??? ngoja nikwambie... :gossip:
Ungejiskiaje hapo? :A S 12:
Dah! jibaba tusamehe kwa ofutopik kwenye sredi yako bana! tunajaribu kuiweka laivu tu ili watu wakikuja asubuhi waione hewani, lakini kama haupendelei tushtue, tutalog offYawezekana mkuu!
Hahahahaha... kwa kweli hata mimi sina kumbu kumbu ya mara ya mwisho nilikasirika. lolhahahaah kweli hilo lingekuwa tusi kubwa aisee!
Lakini mimi bado nashindwa kuamini kuwa hayo macho yako yanaweza kukasirika, They are Too soft to be harsh.
Scofield, una undugu wowote na Kizimkazimku? mmefanana utasema mtu mmoja.Yawezekana mkuu!
Hapo red! who iz on target? lolHahahahaha... kwa kweli hata mimi sina kumbu kumbu ya mara ya mwisho nilikasirika. lol
Alafu kusema tu ukweli nimezingishiwa mtu ambae sio that bad...
ingekua fulani maybe ningekasirika. Ila mtakatifu? mbona poa tu? lol
Muulize Uncle akwambie... jana aliniotea mimi na huyo mtu ikabidi nipige rakaa 4 za kumuombaq Mungu apishe mbali. Si unajua Uncle akiota hutokea? lolHapo red! who iz on target? lol
Just say sio mimi lol
Muulize Uncle akwambie... jana aliniotea mimi na huyo mtu ikabidi nipige rakaa 4 za kumuombaq Mungu apishe mbali. Si unajua Uncle akiota hutokea? lol
Wewe... I would be surprised, but amazed...
Dah! jibaba tusamehe kwa ofutopik kwenye sredi yako bana! tunajaribu kuiweka laivu tu ili watu wakikuja asubuhi waione hewani, lakini kama haupendelei tushtue, tutalog off
Scofield, una undugu wowote na Kizimkazimku? mmefanana utasema mtu mmoja.
Nimeiona mkuu, na imetulia balaa.Usijali mkuu tupo pamoja nilikuwa naandika ingine, utaiona hapo iko hewani! be free!
We shule hutaki kuja bwana... unaishia kwenda kuokota mahembe na Husninyo, ona sasa kalazwa anaumwa "tumbo"hahaah shule tunapigwa home work na wewe unapenda kuniongezea mahome work.
Hapo red! nitakuulizia in detail tukikuwa shule lol
deskmate niziwie, naua mtu hapa... :ballchain:We Mwal taratibu!i unataka Ivuga anitoe roho.
Nimeiona mkuu, na imetulia balaa.
nishalembea komenti
Taratibu Mwali! itabidi umkane huyo ili wengine tuwe huru utakosa bahati hivihivi.deskmate niziwie, naua mtu hapa... :ballchain:
Dah! deskmate ningekuzuwia lakini jamaa amegonga pentagon hapa chini. Umemwelewa?deskmate niziwie, naua mtu hapa... :ballchain:
Taratibu Mwali! itabidi umkane huyo ili wengine tuwe huru utakosa bahati hivihivi.
Halaf mie ndo kabisa mzee inabidi nijichanganye manake kuna ratiba zangu zimeharibika basi hapa inabidi nijizingue na JF tu, haina jinsiPamoja mkuu, unajua wikiend lazima tuchangamshe baraza. sio mpaka waende kwa shigongo
hahaha nitakuja bana! nasubiri ratiba ikae sawa tu, infakt leo sikutakiwa kuwa hapa lakini ratiba mbili tatu tu zimepanguka ndio maana niko.We shule hutaki kuja bwana... unaishia kwenda kuokota mahembe na Husninyo, ona sasa kalazwa anaumwa "tumbo"
Sasa nimkane vipi? you can only untie what has been tied...Dah! deskmate ningekuzuwia lakini jamaa amegonga pentagon hapa chini. Umemwelewa?
Safi sana kama jamaa hakubani, I'm free kwa MwaliSasa nimkane vipi? you can only untie what has been tied...
Halafu hata hivo sitafuti bahati... I was born lucky...