klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Sasa nimkane vipi? you can only untie what has been tied...
Halafu hata hivo sitafuti bahati... I was born lucky...
Hivi unajua kila mtu yuko huru hapa dunia ya Mungu? but kila action unachukua kwa kutumia uhuru wako linakua na matokeo yake....Safi sana kama jamaa hakubani, I'm free kwa Mwali
Nafurahia company ya Ivuga, na yeye anafurahia yangu pia. Ila hatuko JF couple... na sipendi watupe label ya JF couple.hahahaha u r rollercoasting honey! sasa point yetu ni kwamba kama hauko tied you have nothing to worry abt au kukasirika na lets brand it a JF informal couple? (hii ndio poiinti yetu, pliz usinikasirikie na mimi, nimefafanua tu)
See honey!Nafurahia company ya Ivuga, na yeye anafurahia yangu pia. Ila hatuko JF couple... na sipendi watupe label ya JF couple.
Maybe I want people to note it? lolSee honey!
Nakubaliana na wewe mia kwa mia, lakini kwanini watu wanapokwambia usiichukulie as a joke and let it go?
They say , shadow can't chase a thief
Your heart hide all the answers I need lolMaybe I want people to note it? lol
I am a woman... ni kawaida niwe na paradoxical reasoning. Nataka watu washakie, ila wasiwe na uhakika... 🙂Your heart hide all the answers I need lol
hahaha what a post!I am a woman... ni kawaida niwe na paradoxical reasoning. Nataka watu washakie, ila wasiwe na uhakika... 🙂
Nitaota tunachuma mahembe... lolhahaha what a post!
eniwei deskmate, alow me to leave.
sweet dreams, and of coz spare sweetest one for me
:ballchain:( I hope Ivuga won't mind this lol)
mkuu hiyo red si ni aina ya betri?
We Mwal taratibu!i unataka Ivuga anitoe roho.
Safi sana kama jamaa hakubani, I'm free kwa Mwali
na nakutoa kweli
Endelea na utafiti
klorokwin simuogopi yule ni katuni "MC" si unaona mda wote anashangiliaMkuu watu walilamba full detail from mwali, we umepiga mboji, nikunong'oneze (klorokwini) lakini usinitaje mi nilikuwa mpambe tu.