Ushahidi kuwa Elimu yetu haitoshi: Angalia Wabunge na Polisi

Hii sababu ni za mtu aliyekata tamaa kufikiri, kudhani kila polisi hakusoma,na kila upuuzi unaofanywa na polisi ni sababu ya elimu yao ndogo.

Mbona mbowe hakwenda shule kiivyo ila anaswaga mbuzi kibao na elimu zao!
Akina mbowe ndio waliotupatia JPM, sio CCM. Bila mbowe JPM asingekuwa Rais.
 
Hii sababu ni za mtu aliyekata tamaa kufikiri, kudhani kila polisi hakusoma,na kila upuuzi unaofanywa na polisi ni sababu ya elimu yao ndogo.

Mbona mbowe hakwenda shule kiivyo ila anaswaga mbuzi kibao na elimu zao!
Unaacha kujadili hoja unajadili mtu.Inaonekana mbowe anakuwasha sana wewe.Jinga kubwa wewe.
 
Hii sababu ni za mtu aliyekata tamaa kufikiri, kudhani kila polisi hakusoma,na kila upuuzi unaofanywa na polisi ni sababu ya elimu yao ndogo.

Mbona mbowe hakwenda shule kiivyo ila anaswaga mbuzi kibao na elimu zao!
Police,wajeda wengi 97% wamefoji vyeti kichwani ni empty set uweledi zero kabisa angalia hata shule za hivo vyombo ndo hupata miziro yakutosha
 
Kuna Kazi ukisoma utafanya sababu ya njaa au kituo cha kusakia Kazi nyingine
 
Elimu mwisho ni form vi, huko kwingine kote ni mbwembwe zako wwe!!
Mpuuzi huyu,tukimtajia mifano ya wasomi kibao wanaotoa boko JF itajam.

Nimempa mfano wa mwamba wake ambaye shule kwake haipo,ila ana maajabu.
 
Kilicho dhahiri, hakuna super intellingent aliyepo ndani ya Polisi. Wengi wa Polisi ni very low IQ. Kazi hii ni muhimu, ilihitaji watu wenye akili, weledi na upeo mpana, sisi tunawapa tunaowaona kuwa wana akili ndogo. Madhara yake ni makubwa.
Super intelligent wapo taasisi ipi!!!na ipi kazi wameifanya??

Ujue wapinzani msiwe kama viazi,ndio maana ccm inawaburuza kwa kuwachezesha ngoma yoyote tu,maana inajua hamna key yenu maalum.
 
Kilicho dhahiri, hakuna super intellingent aliyepo ndani ya Polisi. Wengi wa Polisi ni very low IQ. Kazi hii ni muhimu, ilihitaji watu wenye akili, weledi na upeo mpana, sisi tunawapa tunaowaona kuwa wana akili ndogo. Madhara yake ni makubwa.
Wewe na nani mliwapa?
IQ kubwa unakuja kulalamika huku mitandaoni. Njooni vijijini tulime huku au ufanye biashara ulipo. Sio kila siku ooh police or wabunge. Ungeenda ww police ili tuione hiyo IQ yako. Au ungegombea ubunge. Tufanyeni kazi vijana wenzangu tuache kulalamika lalamika mitandaoni
 
Ma~Police πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
 
Wengi kwenye hizo nafasi husahau kuwa kuna siku watastaafu na kurudi uraiani. Niwatu wa hovyo hukupata kuona.
 
Hakuna mbunge mwenye akili nzuri anaeshindwa kuisimamia serikali na kuwa upande wa wananchi.
Mbunge anaapa kulitumikia bunge siyo wananchi bwashee!

Ni kweli.lishe yetu pia inachangia pakubwa kwenye uwezo wetu wakujielewa.
Nadhani wale ambao staple food yao sio ugali wana afadhali kubwa. Mfano, Zanzibar wanajitambua wote kabisa 100%, na iko siku Zanzibar itaichukua Tanganyika, it is just a matter of time.
 
Police Wana maisha magumu lakini wanashabikia ccm

Kazi gani, yaani wewe unaweza mafuta ya 20,000 kwenye gari lakini nyumbani umeacha 5000 hiyo ndiyo kazi unavyosema?
 
Wenye kuweza kufanya maamuzi ni wale wa ngazi za juu,lakini kama na wao wanafaidika na mfumo,usitegemee Askali wa chini anayelipwa laki tatu atafsnya chochote,Hawa wachini wenyewe wanadhulumiwa sana na wakubwa wao,hasira wanamalizia kwa Raia.Ogopa sana "state capture "nchi imeshikwa na kikundi kidogo Cha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…