Brine JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 375 Reaction score 71 May 25, 2012 #1 Attached document ni tangazo kutoka kwa mkuu wa shule ya nkomang'ombe, hata kama ni ufisadi this is too much, je tutafika? Attachments Nkoman g'ombe.jpg 727.8 KB · Views: 43
Attached document ni tangazo kutoka kwa mkuu wa shule ya nkomang'ombe, hata kama ni ufisadi this is too much, je tutafika?
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 May 25, 2012 #2 Hatutafika kamwe! Serikali inasema, udahili wa wanafunzi wa darasa la saba ni 97%. Takribani wote wanahitimu bila ya kujua kusoma na kuandika. Ukombozi wa kweli hautofikiwa ikiwa kama Taifa linaua vipaji vya watoto.
Hatutafika kamwe! Serikali inasema, udahili wa wanafunzi wa darasa la saba ni 97%. Takribani wote wanahitimu bila ya kujua kusoma na kuandika. Ukombozi wa kweli hautofikiwa ikiwa kama Taifa linaua vipaji vya watoto.
man jusak Member Joined Feb 6, 2012 Posts 9 Reaction score 2 May 25, 2012 #3 kwa uwezo wa mungu tu lakin kwa staili hii aah wapi