Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Marafiki zangu toka africa,ulaya,asia na marekani wamekuwa wakiniuliza nmepatwa na nini?mbona kule twitter naandika kama mtu mwenye stress za maisha?
Nmeshangaa sana maana mimi situmii account ya kidukulilo twitter kwa sababu za kiusalama. Ila kuna kakijana kanatumia jina hilo kuomba kusaidiwa pesa na mara ya mwisho kalitumiwa na jamaa yangu mil 2.
Nimeamua kumwambia mwanasheria ashirikiane na vyombo vya usalama wakakamate kakijana hako.kenyewe kanadhani kanajijenga lakini kiuhalisia kataozea prison.maana kamenidhalilisha sana. Kanaandika upuuzi ambao hata kuufikiri tu mi siwezi.kweli mimi nifanye upuuzi kama huo ?
Mzee nmemshirikisha alitaka kutuma mwanasheria toka Canada nmemwambia aache tu hata tz kwa issue kama hii wapo wanaweza.akanambia basi kwa kuwa jambo hili limenisononesha niache kazi TZ Nikafanye bizinezi zake USA.nmemkatalia.nmejuta why nimmtarifu maana familia nzima wanataka nihame niondoke TZ.
Mzee anasema yupo tayari kunilipa salary ya tsh mil 70 kwa mwezi na marupurupu.nmemkatalia maana mimi toka zamani nagoma kufanya biznez za mzee.
Kiukweli nimesononeka sana. Why watanzania mnatuchikia sisi wenyeji wa nchi za mbali?mimi kiasili mzazi wangu mmoja ni mtz tusifanyiane chuki ndugu zanguni.hadi kiswahili nlijifunza vizuri tu sababu ya mapenzi na uzalendo.leo mtu anaamua tu kunichafua.