Ushahidi: Timu Ya Yanga Haijaanza Kutembeza Bakuri Leo Wala Jana. Walianza Zamani Za Kale

Ushahidi: Timu Ya Yanga Haijaanza Kutembeza Bakuri Leo Wala Jana. Walianza Zamani Za Kale

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Hii timu tumekuwa tukishuhudia kila Mara ikitembeza bakuri kuomba msaada hasa Wa kifedha kutoka kwa wadau ili kuweza kuisaidia kusukumasukuma klabu. Ukifuatilia zaidi umaskini Wa timu hii ni Wa kihistoria
IMG-20170802-WA0007.jpg
 
Nalo Hilo Lina Mantiki Gani?

Ukiacha Azam Ni Timu Ipi Bongo Iliyo Na Pesa(tajiri) Zenye Mfumo Bora Wa Uendeshaji?

Hadi Saiv Simba Wanafarakana Kisa Pesa Za Mo.
Twende Ulaya Achana Na ViThread Uchwara Kufungua.
 
Pole mleta Uzi mbona hayo kwa simba na yanga ni vitu vya kawaida sana! Bila ya Mo simba pia si lolote kitu cha muhimu ni kupata viongozi weredi ambao watatumia assets za timu vzr ili ziweze kujitegemea. Mfano wanachama na wapenzi wa hizo timu ni moja ya asset kubwa wakiwatumia vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So what??????[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] tuachie yanga yetu.......mbona nyinyi sabasaba fc ndo kazi yenu hiyo kupitisha bakuli kwendraaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mleta Uzi mbona hayo kwa simba na yanga ni vitu vya kawaida sana! Bila ya Mo simba pia si lolote kitu cha muhimu ni kupata viongozi weredi ambao watatumia assets za timu vzr ili ziweze kujitegemea. Mfano wanachama na wapenzi wa hizo timu ni moja ya asset kubwa wakiwatumia vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi naona shida ni wanachama wa hivi vilabu na sio viongozi kwani hawataki mabadiliko.
 
Nalo Hilo Lina Mantiki Gani?

Ukiacha Azam Ni Timu Ipi Bongo Iliyo Na Pesa(tajiri) Zenye Mfumo Bora Wa Uendeshaji?

Hadi Saiv Simba Wanafarakana Kisa Pesa Za Mo.
Twende Ulaya Achana Na ViThread Uchwara Kufungua.
mtibwa ,Kagera na mbeya city
 
Hii picha nilipoisambaza nilisema isambae kwenye whatsapp pekee
 
Nyie leo tunawapa pongezi kwa kwa kuwafunga watoto wa mtaani wa Morogoro mjini, walio chini ya miaka ishirini magoli 5 - 0

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unawajua lakini Moro Kids....?

Hii team ndo iliokuza karibia robo ya timu ya Simba.... Na wachezaji wengi tuu ligi kuu wamepitia apa........!

Akitokea Mzamini akaamua ipande kama ilivo ni balaa ligii kuu......!
 
FB_IMG_1501698176211.jpg
FB_IMG_1501698093100.jpg

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Mkuu unawajua lakini Moro Kids....?

Hii team ndo iliokuza karibia robo ya timu ya Simba.... Na wachezaji wengi tuu ligi kuu wamepitia apa........!

Akitokea Mzamini akaamua ipande kama ilivo ni balaa ligii kuu......!
Mgecheza basi hata na polisi moro wakubwa wenzenu.
Hao vijana wa undertwenty si bado wadogo, yaani humo kuna wenye miaka 16, 17,18 na19.
Halafu wamkabe Ngoma mwenye uzito wa kilo zaidi ya mia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hiyo ni siku ya Wajinga?(nimeona nichomekee tu kidogo😀)

kweli ww n mjinga hata timu unayoshabikia ni ya aina yako! kwa hiyo akili yako inakutuma Leo n siku ya wajinga?
 
Back
Top Bottom