Mkuu ndo maana nakwambia hauwajui hao unawaongelea, ao Polisi Moro kwenye lig za mchangani huwa wanachezea 3 au mbili kwa ao watoto unaosema ww .... ....Mgecheza basi hata na polisi moro wakubwa wenzenu.
Hao vijana wa undertwenty si bado wadogo, yaani humo kuna wenye miaka 16, 17,18 na19.
Halafu wamkabe Ngoma mwenye uzito wa kilo zaidi ya mia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu naona unawapamba sana. Nategemea tutawaona ligi kuu.Mkuu ndo maana nakwambia hauwajui hao unawaongelea, ao Polisi Moro kwenye lig za mchangani huwa wanachezea 3 au mbili kwa ao watoto unaosema ww .... ....
Hiyo ni academy...... Aiwezi kupanda apo ndo walipozaliwa Kina Kapombe, Mbonde, Kessy, Kichuya, Juma Abdul, kado, Ndunda, na wengineo kibao wapo ligi kuu sasa hiv... Ata Serenget boys walitoa zaid ya wachezaji wa 5.....
Tatizo lako lenu Mikia FC hamjui nguvu ya michango midogo kutoka kwa watu wengi.Hii timu tumekuwa tukishuhudia kila Mara ikitembeza bakuri kuomba msaada hasa Wa kifedha kutoka kwa wadau ili kuweza kuisaidia kusukumasukuma klabu. Ukifuatilia zaidi umaskini Wa timu hii ni Wa kihistoria
View attachment 556565
Umepiga pabayaYanga yanga na simba ni nani anafunga kamba viatu vya bosi wake hadi sasa ili apate chochote? Manji kaondoka lakini lakini bado yanga inasajili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee kwa bahati mbaya imefika huku! Sio vibaya kwa kuwa wengine hawatumii hayo mawasilianoHii picha nilipoisambaza nilisema isambae kwenye whatsapp pekee
nenda ukatoe pesa ya maji wachezaji wanakufa kiuSimba yapigwa Cha njiwa South Africa yani 1-0
Ha ha ha! Hii nayo ni pre - season?!!
Majonzi yametawala nyuso za wachezajiHa ha ha! Hii nayo ni pre - season?!!